Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Mixin
Hii ni njia inayowezesha kutumia code zaidi ya mara moja kwenye class zaidi ya moja. Tunatumia keyword mixin ili kuweza kuadika code ambazo tutakwenda kuzitua kwenye class.
Mfano
mixin tangazo{
//code
}
mixin taarifa{
// code
}
Ukitaka kuzitumia hizo code tutatumia keyword with. Sasa wakati mwingine unahitaji mixin ifanyekazi kwenye class maalumu. Hivyo wakati wa kuitengeneza utatumia on, angalia mfano hapo chni:
Mfano:
mixin tangazo{
//code
}
mixin taarifa{
// code
}
class gari with mixin tangazo, taarifa{
}
Mfano kw akutumia ON
class gari{
}
mixin toyota on gari{
}
Wacha tuone mfano kwa ujumla. Hapa nina ixin bili ambayo moja nimeiita toyota na nyingine nimeiita bugati. Nitatumia with ili kutuia zote kwenye class moja. Class hiyo nimeiita garri
mixin toyota {
void tangazo() {
print('Tunauza toyota');
}
}
mixin bugati {
void taarifa() {
print('Tunauza Bugati');
}
}
class gari with toyota, bugati {
}
void main() {
var car = gari();
car.taarifa();
car.tangazo();
}
mixin toyota {
void taarifa() {
print('Toyota');
}
}
mixin bugati {
void tangazo(">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu inheritance, na inavyoweza kutumika kwenye Dart OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hiliutakwenda kujifunza aina nyingine ya constructor ambayo hutumika kwenye Dart. aina hiyo ni factory constructory.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jins ya kutengeneza constructor method, pia utajifunza matumizi yake kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo lililopita tumejifunza kuhusu sintaksia za dart. Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza variable kwenye Dart.
Soma Zaidi...