Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Abstract class ni nini?
Hii ni class yenye abstract method walau moja. Abstract method ni method ambayo ina umetajwa jina ila implementtation yake (yaani code zake kwa ajili ya kuifanyisha kazi) zitakuwepo kwenye subclass. Ufupi wa maneno hii ni method ambayo haina body hivyo yenyewe itatengenishwa kwa semicolon (;) na hutengenezwa kwa kutumia keyword abstract.
Mfano:
abstract class gari{
//abstract method
tangazo();
taarifa();
}
Hapo kuna abstract method 2 ambazo ni tangazo() na taarifa(). Sasa utaona hizo method zina jina tu lakini hazina body. Sasa body yake tutakwenda kuiona kwenye subclass.
abstract class gari{
//abstract method
tangazo();
taarifa();
}
class toyota extends gari{
@override
tangazo() {
// TODO: implement taarifa
print("Tunauza gari aina ya toyota");
}
@override
taarifa() {
// TODO: implement taarifa
print("Toyota imeuzwa");
}
}
class bugati extends gari{
@override
tangazo() {
// TODO: implement tangazo
print("Tunauza gari aina ya Bugati");
}
@override
taarifa() {
// TODO: implement taarifa
print("Bugati imeuzwa");
}
}
class tipa extends gari{
@override
tangazo() {
// TODO: implement taarifa
print("Tunauza gari aina ya Tipa");
}
@override
taarifa() {
// TODO: implement taarifa
print("Tipa limeuzwa");
}
}
void main(){
bugati bu = bugati();
bu.tangazo();
bu.taarifa();
print(" ");
toyota to = toyota();
to.tangazo();
to.taarifa();
print(" ");
tipa ti = tipa();
ti.tangazo();
ti.taarifa();
}
Mambo ya kuzingatia:
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...