Katika masomo yaliopita tumesha jifunza jinsi inheritance inavyokuwa, ila hatujaona kwa namna gani utaweza ku inherit constructor method. Somo hili litashughulika na swla hilo.
Ineritance kwenye constructor method hasa hapa tunajifunza jins ambavyo utaweza kurithi constructor mrthod kutoka kwenye parent class.
Mfano:
Hapa nina class mbili ambazo ni gari ambayo ni parent class na toyota ambayo ni child class. Kila moja ina constructor method. Hivyo constructor method kutoka kwenye parent class inaanza kitwa kabla ya child class.
class gari {
// Constructor
gari() {
print("Tunauza gari");
}
}
class Toyota extends gari {
// Constructor
Toyota() {
print("Tunauza toyota");
}
}
void main() {
Toyota();
}
Pia unaweza kurirhi constructor yenye patameter. Hapa tunawez atena kutumia keyword supper ili kuweza kuitumia constructor kutoka kwenye parent class kuja kwenye child class.
class gari {
// Constructor
gari(String jina, String rangi) {
print("Tunauza gari");
print("Name: $jina");
print("Color: $rangi");
}
}
class toyota extends gari {
// Constructor
toyota(String jina, String rangi) : super(jina, rangi) {
print("Bei zetu ni nafuu");
}
}
void main() {
toyota("Avalon", "Nyeusi");
}
Pia t">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuziona method za dart zinazotumika kwenye namba. pia utajifunzakuhusu math library
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya OOP na faida zake. Pia utakwenda kujifunza kuhusu features za OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuunganisha databse na Dart. Pia utajifunza jinsi ya kuset environment kwenye kompyuta ili kuweza kutumia Dart sdk kwenye CMD.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu dart library. Pia tutakwend aktengeneza library yetu wennyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...