Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Kwenye Dart, enum ni kama ilivyo katika lugha nyingine nyingi. Ni njia ya kutengeneza seti ya thamani zinazojulikana, na kila mojawapo inawakilisha thamani maalum. Enum hutengenezwa kwa kutumia keyword enum.
Hapa kuna mfano wa jinsi enum inavyofanya kazi katika Dart:
enum gari {
toyota,
BMW,
basi,
bugati
}
void main() {
gari mycar = gari.toyota;
switch (mycar) {
case gari.toyota:
print("Gari ni Toyota");
break;
case gari.bugati:
print("Gari ni bugati");
break;
case gari.BMW:
print("Gari ni BMW");
break;
case gari.basi:
print("Gari ni basi");
}
}
Sifa za enum
Angalia mfano mwingine hapa chini
enum Gender { Male, Female, Other }
class Person {
// Properties
String? firstName;
String? lastName;
Gender? gender;
// Constructor
Person(this.firstName, this.lastName, this.gender);
// display() method
void display() {
&nbs">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya OOP na faida zake. Pia utakwenda kujifunza kuhusu features za OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza kufanya maamuzi kulingana na mashart fulani.ama namna ambavyo program inaweza ku run code zaii ya mara moja kulingana na mashart. Hapa tutazingumzia flow of control statement
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Dart kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu dart library. Pia tutakwend aktengeneza library yetu wennyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...