Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Kutengeneza obje kwanza tutatakiwa kufanya instantiation. Katika programming hiki ni kitendo cha kutengeneza instance of class yaani kutengeneza object. Katika somo hili tutatkwenda kuzitumia class tatu tulizozitengeneza kwenye somo lililopita ambazo ni :-class gari{
//properties
String? jina;
String? rangi;
int? matairi;
//method
void tangazo(){
print("tunauza gari aina ya ${jina}, ina rangi ${rangi}, na matairi ${matairi}");
}
}
class website{
var jina;
String? status;
String? category;
int? creted;
taarifa(){
return "Jina la website yetu ni ${jina}, imeanzishwa mwaka ${creted}, hali yake kwa sasa ni ${status}, website yetu inahusu ${category}";
}
}
class math{
int? x;
int? y;
jumlaisha(x, y){
return x+y;
}
}
Hapa tuna class 3 ambazo ni:-
Ili kuweza kutengeneza obje kwanza utaaanza na jina la Class likifuatiwa na jina la object kisha itafuatiwa na alama ya (=) ikifuatiwa na jina la class likimaliziwa na mabano().
Mfano
void main(){
gari toyota = gari();
website myweb = website();
math jumla = math();
}
Hapo nimetengeneza object mbili ambazo ni toyota, myweb na jumla. Sasa hatuwa inayofuata ni kutengeneza property za kila object kulingana na class zao. Kutengeneza property hakuna utofauti sana na kutengeneza variable. Kilicho ongezeka hapo ni kuhusianisha na object husika.
Mfano kutengeneza property jina la toyota Avalon kwenye gari tutaweka toyota.jina = “Toyota Avalon”
Mfano:
Class gari:
gari toyota = gari();
toyota.jina = 'Toyota avalon';
toyota.rangi = "Nyeusi mpauko";
toyota.matairi = 4;
Hapo nimetengeneza property 3, sasa takwenda kuitumia method ama function tangazo() kwenye class yetu. Kufanya hivyo tutaanza na jina la object yetu ikifuatiwa na nukta, ikifuatiwa na method yetu.
class gari{
//properties
String? jina;
String? rangi;
int? matairi;
//method
void tangazo(){
print(" Tunauza gari aina ya ${jina}. Ina rangi ${rangi}. Ina matairi ${matairi}.");
}
}
void main(){
print("TANGAZO");
gari toyota = gari();
toyota.jina = 'Toyota avalon';
toyota.rangi = "Nyeusi mpauko";
toyota.matairi = 4;
toyota.tangazo();
}
">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hiliutakwenda kujifunza aina nyingine ya constructor ambayo hutumika kwenye Dart. aina hiyo ni factory constructory.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Dart kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia library ya html kwenye Dart. somo hili litakupeleka kujifunza jinsi ya ku display dart output kwenye faili la html.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda ujifunz akuhusu concept ya stream kwenye Dart. pia ttaona kwa namna gani strean inaweza kutofautiana na future wakati zote mbili zipo kwenye asychronous programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...