Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Static variable ni nini?
Hii ni variable ambayo inaweza kutumika kwenye class yote. Hii hutumika kuifadhi data ambazo zipo kwenye class. Na hutengenezwa kwa ytuma keyword static. Unapotaka kutumia static variable huna haja ya kutengeneza object.
Mfano:
class gari {
// Static variable
static String jina = "toyota";
}
Ili uweze kuitumia static variable utatumia jina la class na jina la hiyo static variable kama tulivyozoea.
class gari {
// Static variable
static String jina = "toyota";
}
void main(){
String waf = gari.jina;
print(waf);
}
Angalia mfano mwingine hapo chini.
class Student {
int id;
String name;
static String schoolName = "ABC School";
Student(this.id, this.name);
void display() {
print("Id: ${this.id}");
print("Name: ${this.name}");
print("School Name: ${Student.schoolName}");
}
}
void main() {
Student s1 = new Student(1, "John");
s1.display();
Student s2 = new Student(2, "Smith");
s2.display();
}
">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya OOP na faida zake. Pia utakwenda kujifunza kuhusu features za OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jins ya kutengeneza constructor method, pia utajifunza matumizi yake kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu inheritance, na inavyoweza kutumika kwenye Dart OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu kazi za dart language. Pia nimekuandalia istoria fupi ya lugha ya DART.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...