Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Nini maana ya named constructor
Katika lugha nyingi za kompyuta unaweza kuwa na constructor zaidi ya moja zenye jina moja kwenye class. Lakini kwenye Dart huwezi kufanya hivi. Ili uweze kutegeneza constructor zaidi ya oja zenye jina moja utatumia named constructor.
Named constructor ni constructor ambayo ina jina sawa na constructor iliyotangulia hivyo inaongezewa keyword namedConstructor.. Kwa mfano hapa nitaleta constructor mbili zenye jina moja.
class Gari {
//costructor
Gari() {
}
//named constructor
Gari.namedConstructor(){
}
}
Hapo kuna construct mbili ambazo zote zinatumia jina moja Gari. Na wakati wa kutengeneza object utatumia hivyo hivyo namedConstructor keyword. Angalia ,fano hapo chini:-
class Gari {
//costructor
Gari() {
print("Tunauza gari");
}
//named constructor
Gari.namedConstructor(){
print("Gari letu ni jipya");
}
}
void main(){
Gari();
Gari.namedConstructor();
}
constructor zote zinaweza kushirikiaan properties. Kwa mfano angalia hapo chini nakwenda kutumia properties kwenye constructor zote.
class Gari {
String? jina;
String? rangi;
int? matairi;
// Constructor
Gari(this.jina, this.matairi, this.rangi) {
print("Tunauza gari aina ya ${jina}, ina rangi ${rangi} na matairi ${matairi}");
}
// Named constructor
Gari.namedConstructor(this.jina, this.rangi, this.matairi) {
print("Gari mpya inaitwa ${jina}, ina idadi ya matairi $matairi na ina rangi $rangi");
}
}
void main() {
Gari("oyota Corolla", 6, "Nyekundu");
Gari.namedConstructor("Toyota Avalon", "nyeusi", 4);
}
Pia constructor method na named constructor zinaweza kutumia method moja kwa kushirikiana. Pia unaweza kuchanganya na default parameter.Angalia mfano hapo chini.
class gari {
String? jina;
String? rangi;
int? matairi;
gari(this.jina, this.rangi, this.matairi);
// here Mobile() is a named constructor
gari.namedConstructor(this.jina, this.rangi, [this.matairi = 4]);
void tangazo() {
print("Jina la gari ni: $jina.");
print("Rangi ya gar ni: $rangi.");
print("Idadi ">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutatkwenda kuziona baadhi ya xyntax yaani kanunu za uandishi wa code za dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Dart function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuziona method za dart zinazotumika kwenye namba. pia utajifunzakuhusu math library
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda ujifunz akuhusu concept ya stream kwenye Dart. pia ttaona kwa namna gani strean inaweza kutofautiana na future wakati zote mbili zipo kwenye asychronous programming.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...