Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Class interface hii ni class ambayo huweka sintaksia (kanuni, mpangilia) ambapo class zitakuwa zinafuata.unapotaka kuifanyia kazi (impleent) hiyo class anterface utatumia keyword implements .
Mfano:
// Abstract class
abstract class gari{
}
//
class toyota implements gari{
}
Kuna namna mbili za kutengeneza interface class, moja ni kutumia abstract keyword kama ilivyo kwenye mfano uliotangulia na nyingine ni kutumia class kama hapo chini ila mara nyingi huwa inatumika abstract kutengeneza class insterface.
// Abstract class
class gari{
}
//
class toyota implements gari{
}
Sasa nakwenda kutumia mfano ambao tumeuona kwenye somo lililopita. Huu utaanza kukupa aidia na maswali kadhaa kuhusu interface
abstract class gari{
//abstract method
tangazo();
taarifa();
}
class toyota implements gari{
@override
tangazo() {
// TODO: implement taarifa
print("Tunauza gari aina ya toyota");
}
@override
taarifa() {
// TODO: implement taarifa
print("Toyota imeuzwa");
}
}
class bugati implements gari{
@override
tangazo() {
// TODO: implement tangazo
print("Tunauza gari aina ya Bugati");
}
@override
taarifa() {
// TODO: implement taarifa
print("Bugati imeuzwa");
}
}
class tipa implements gari{
@override
tangazo() {
// TODO: implement taarifa
print("Tunauza gari aina ya Tipa");
}
@override
taarifa() {
// TODO: implement taarifa
print("Tipa limeuzwa");
}
">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia library ya html kwenye Dart. somo hili litakupeleka kujifunza jinsi ya ku display dart output kwenye faili la html.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika masomo yaliopita tumesha jifunza jinsi inheritance inavyokuwa, ila hatujaona kwa namna gani utaweza ku inherit constructor method. Somo hili litashughulika na swla hilo.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...