Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya OOP na faida zake. Pia utakwenda kujifunza kuhusu features za OOP.
OOP ni kifupisho cha maneno Object Oriented Programming. Hii ni moja katika mitindo inayotumiwa kwenye programming yaani (programming paradigm) mitindo mingine ni kama
Dart ni Object Oriented Programming language kwa maana kila kitu kinachukuliwa kama object kwenye Dart. Kwenye OOP object inaweza kuwa kitu chochote kama gari, mbuzi, kondoo, simu. Kisha object inakuwa na sifa zake kama vile urefu, rangi, kimo, ukubwa. Pia object inakuwa na tabia kama kutembea, kuzungumza, kucheka, kuharibuka. Hizi sifa huitwa attributes na hizi tabia huitwa behaviour...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye Dart. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo lililopita tumejifunza kuhusu sintaksia za dart. Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza variable kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Dart function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Dart kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...