binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?

Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?

binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?

Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani? Na je anapaswa kula vyakula vya vitamini gni



Namba ya swali 019

Hiyo tunaita mpauko na si weupe. Kama ni viganja tunasema vimepauka, ama ngozi imepauka.



Namba ya swali 019

Hali hiyo huweza kuashiria upunguvu wa damu. Kula matunda kwa wingi na mboga za majani hali itakaa sawa



Namba ya swali 019

sswa



Namba ya swali 019

Ukiwa na maoni ama maswali wakati mwingine unakaribishwa sana



Namba ya swali 019

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Huduma Main: Afya File: Download PDF Views 1299

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 Kitabu cha Afya    ๐Ÿ‘‰2 kitabu cha Simulizi    ๐Ÿ‘‰3 Madrasa kiganjani    ๐Ÿ‘‰4 Simulizi za Hadithi Audio    ๐Ÿ‘‰5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    ๐Ÿ‘‰6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

Fahamu kuhusu vitamini K na kazi zake mwilini

vitamini k ni moja katika vitamini vinavyoitajika sana mwilini. Je unazijuwa athari za upungufu wa vitamini k mwilini?

Soma Zaidi...
Upungufu wa vitamin

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin

Soma Zaidi...
Dalili za shambulio la hofu

Shambulio la hofu ni tukio la ghafla la hofu kali ambayo husababisha athari kali za kimwili wakati hakuna hatari halisi au sababu inayoonekana. Mashambulizi ya hofu yanaweza kuwa ya kutisha sana. Mashambulizi ya hofu yanapotokea, unaweza kufikiri kwamba

Soma Zaidi...
Faida za minyoo

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za minyoo

Soma Zaidi...
Njia za kushusha presha

Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.

Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENGโ€™ATWA NA NYUKI

Kungโ€™atwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu vitamini D na kazi zake mwilini

Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D.

Soma Zaidi...
Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI

Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI

Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

Soma Zaidi...
Namna ya kutoa huduma ya kwanza

Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini

Soma Zaidi...