Mambo ya kuzingatia unapokuwa unatoa huduma ya kwanza
Huduma ya kwanza ni huduma inayotolewa kwa mtu yeyote aliyepata ajali au mgonjwa yeyote kabla hajapelekwa hospitalini
Mambo ya kuzingatia unapokuwa unatoa huduma ya kwanza.au mtililiko unapaswa kufuata unapokuwa unatoa huduma ya kwanza.
1.kuangalia upumuaji wa mgonjwa.
_ kabla ya vyote unapaswa kuangalia kama mgonjwa anapumua vizuri, maana hewa ni muhumu kuliko vyote.
2. Kuangalia kama damu inasafiri vizuri kwenye mwili.
_ baada ya kuzibua njia za hewa unaangalia upumuaji wa mgonjwa kwa kuangalia mapigo ya moyo yanaendaje na kubinya mishipa inayosafilisha damu na kuangalia kama Kuna sehemu unatoa damu.
3. Kuangalia kama Kuna ulemavu wowote ule
_angalia kama mgonjwa anaweza kuamka
_ kama mgonjwa anaweza kuona ishara yoyote
_ kama mgonjwa anasikia maumivu ikiwa akifinywa
_kama mgonjwa haitikii chochote ulichofanya hapo kwenye sentensi za juu mkimbize hospitalin haraka
4. Mvue mgonjwa nguo zote uangalie kama Kuna sehemu amechubuka au kapoteza kiungo chochote, Ila fanya hivyo kwa uangalifu usipoteze joto la mwili na kumtunza uchi wake.
Tunapotoa huduma ya kwanza ni muhimu kuanzia vitu vya maana kama kuzibua hewa, upumuaji, mzunguko wa damu, ulemavu uliojitokeza na kuangalia kama Kuna alama zozote mwilini , baada ya kufanya hivyo tusisahau kumpeleka mgonjwa hospitalin kwa matibabu zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Madhara ya kuchelewa kutibu tatizo la kiafya
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Namna ya kumwosha Mgonjwa vidonda
Posti hii inahusu zaidi njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda, ni njia muhimu ambazo ni lazima kuzipitia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda.
Soma Zaidi...Upungufu wa damu mwilini
Post inaenda kuzungumzia kuhusiana na upungufu wa damu mwilini ambapo tutaona SABABU na dalili zake lakin upungufu wa damu mwilini hujulikana Kama ANEMIA.
Soma Zaidi...Zijuwe athari za vidonda mwilini
Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa.
Soma Zaidi...Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...