Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari.
Namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari
1.kwanza kabisa ongea nao Ili kujua kuwa Dalili walizonazo ni za maambukizi kwenye milija na ovari kweli au ni ugonjwa mwingine kabisa.
2.Kama utagundua kuwa ni ugonjwa wa maambukizi kwenye milija na ovari, wanaoweza kutumia vidonge vya antibiotics vinavyoua bakteria ambao usababisha maambukizi
3.Achann na kutumia antibiotics kwa mda mrefu maana uua bakteria ambao huitwa normal frola, kabla ya kutumia vidonge vya antibiotics para ushauri kwa daktari kwanza
4. Tumia dawa zinazoua bakteria wote hasa wale wanaosababisha magonjwa ya ngono, kwa sababu huwezi kujua ni Aina gani ya bakteria
5. Mwambie mgonjwa alete na mwenzi wake kusudi waweze kutibiwa wote
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi malengo ya kutibu ukoma, ni malengo ambayo yamewekwa na wizara ya afya ili kuweza kutokomeza ukoma kwenye jamii
Soma Zaidi...Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu ya kuwepo kwa maumivu ya mwili kwa sababu tunaweza kuhisi maumivu kwenye sehemu za mwili kwa sababu mbalimbali kama tutakavyoona hapo chini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno
Soma Zaidi...maumivu ya kichwa ni moja ya dalili za kiafya ambazo huashiria hali isiyo ya kawaida. hata hivyo maumivu ya kichwa yanaweza kutokea hata kama sio mgonjwa. Hapa nitakuletea sababu zinazopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara.Maumivu
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa aliyeungua na Moto.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na joto kubwa mwilini
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mishipa inayosafilisha damu mwilni, ni Aina tatu za mishipa ambazo usafilisha damu kutoka sehemu Moja kwenda nyingine
Soma Zaidi...