MAMBO HATARI KWA UJAUZITO

Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini. Mambo haya yenyewe hayawezi kusababisha ujauzito kutoka ila yanaweza kuongeza hatari ya ujauzito kutoka pindi yakiambatana na mambo matani niliyotangulia kuyataja hapo juu. Mambo haya ni kama:

 1. Kuwa na umri mkubwa kuanzia miaka 35 mpaka 40
 2. Kuzidi kwa uzito mwilini
 3. Uvutaji wa sigara
 4. Unywaji wa pombe
 5. Ulaji wa caffeine nyingi kupita kiasi. Caffein hupatikana kwenye chai.
 6. Sumu za kwenye vyakula, kama kwenye nyama.
 7. Matumizi ya baadhi ya madawa kama
 1. Maambukizi na mashabulizi ya
 1. Kisukari

 

HAYA HAYASABABISHI MIMBA KUTOKA

 1. Kufanya mazoezi
 2. Kufanya kazi
 3. Kula vyakula vinavyowasha kama vyenye pilipili
 4. Kufanya tendo la ndoa
 5. Kupata msituko
 6. Kuwa na mawazo