Post hii inahusu zaidi Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake, haya ni magonjwa ambayo yanashambulia sana ovari ni kama ifuatavyo.
Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake.
1. Kwanza kabisa kabisa Maambukizi kwenye ovari usababishwa na bakteria kwa kawaida maambukizi utokea kwenye pelvis ambayo kwa kitaalamu huitwa PID, haya magonjwa uwakumba sana wanawake na kwa siku hizi ni mengi sana ambapo kwa kiasi kikubwa utokana kwa sababu ya kujamiiana ambapo bakteria utokana na mtu ambaye ana ugonjwa kwenda kwa mtu ambaye hana ugonjwa.
2. Dalili zake kubwa ni maumivu chini ya kitovu na kwenye pelvis , hali hii hutokea kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi ambayo usababishwa na bakteria, na pia mgonjwa uhisi maumivu wakati wa kujamiiana na wakati wa kukojoa kwa hiyo Mgonjwa akihisi dalili kama hizo anapaswa kuwahi kwenda hospitalini mara moja.
3. Na Dalili nyingine ni pale Mgonjwa akifikia siku zake za mwezi damu ambayo utokea ni nzito sana kuliko kawaida na pengine inatoka kama mabonge mabonge na hali hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi, na pengine mama anaweza kuingia kwenye siku zake za mwezi zaidi ya mara moja kwa mwezi kwa hiyo baada ya kuona dalili kama hizo ni lazima kwenda hospitalini mara moja.
4. Na kwa wakati mwingine uchafu utoka kwenye uke ukiwa na harufu mbaya na kufanya mama kujisikia vibaya na pengine homa inaweza kushuka au kupanda ambayo uambatana na kutapika na kutetemeka kwa mgonjwa kwa hiyo Mgonjwa hapaswi kunyamazia hali hii ila alitubu mara moja kwa kufuata maagizo ya daktari na wataalamu wengine wa afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Je kichwa cha uume wako kinawasha, na je kinatoa majimaji kwenye njia ya mkojo, una muda ganinavtatizo hili. Na je ulishiriki ngono zembe siku za hivi karibuni?
Soma Zaidi...Kichefuchefu ni moja katika dalili za mimba za mapema, Lucinda je upo uwezekano kwa mwanamke kuwa na ujauzito bila hata ya kuwa na kichefuchefu?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia ugumba, ni njia ambazo utumiwa na wapenzi ambao wameshindwa kupata watoto hasa kwa wale ambao wamezaliwa wakiwa na uwezo wa kupata watoto lakini kwa sababu tofauti tofauti wanashindwa kupata watoto kwa hiyo njia zifu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Dalili za uvimbe kwenye kizazi,hizi ni Dalili ambazo ujitokeza kwa akina mama ambao wana uvimbe kwenye kizazi kwa hiyo endapo mama ameona Dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali mara moja kwa uangalizi zaidi.
Soma Zaidi...Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu.
Soma Zaidi...Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba.
Soma Zaidi...Mdau anauliza ni muda gani mwanamke anaweza kujijuwa kuwa amepata ujauzito.
Soma Zaidi...Kunyonyesha ni moja katika njia za asili za kuzuia upatikanaji wa miba nyingine. Hata hivyo hii haimaanishi kuwa huwezi kupata mimba ukiwa unavyonyesha.
Soma Zaidi...