SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA (sababu za kuharibika kwa ujauzito)

SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA (sababu za kuharibika kwa ujauzito)

Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.

SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA (sababu za kuharibika kwa ujauzito)

SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA

Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka. Yaani karibia robo ya mimba zinazopatikana hutoka. Kitendo hiki cha kutoka kitaalamu huitwa misscarriage. Hiki ni kitendo cha kupotea kwa ujauzito kabla ya wiki ya 20.

 

Sababu za kutoka kwa mimba:

  1. Sababu za kurithi (genetics): hutokea mwanamke akarithi hizi sabau kutoka kwenye familia yake. Sababu hizi huenda zikapelekea matatizo ambayo baadaye huchangia mimba kutoka. Matatizo haya ni kama
  • Mtoto kutokuendelea kukuwa tumboni
  • Kiini tete (embriyo) kutokutengenezwa
  • Placenta kuwa kubwa zaidi tofauti na kawaida.

 

  1. Afya ya mama; hutokea mwanamke mjamzito afya yake ikawa ni sababu ya ujauzito wake kutoka. Mwanamke akiwa na maradhi yafuatayo ujauzito wake unaweza kuwa hatarini:
  • Kisukari
  • Maradhi ya moyo
  • Presha ya kupanda (hypertension)
  • Maradhi ya figo

 

  1. Maambukizi; mwanamke mjamzito anweza kuweka ujauzito wake hatarini kama atakuwa na maambukizi ama mashambulizi ya maradhi kama:
  • Chlamydia
  • Gonoria
  • Syphilis
  • Malaria
  • Ukimwi

 

  1. Udhaifu wa cervix; cervics ni mlango wa nyumba ya mimba.
  2. PCOS (Polycystic Ovary Syndrome). hii hupelekea ovary kuwa kubwa tofauti na kawaida. Ovary ndio sehemu ambayo mayai ya mwanamke hutengenezwa.

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2880

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Mambo yanayodhihirisha afya ya nguvu za kiume

Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali yanayodhoofisha afya za wanaume, kwa wakati mwingine wanaume ukosa kujiamini kwa sababu ya mambo ambayo yanaadhiri afya za wanaume.

Soma Zaidi...
Njia za kiasili zilizotumika zamani kqtika kupima ujauzito

Somo hili linakwenda kukuletea njia za asili walizotumia zamani katika kupima ujauzito

Soma Zaidi...
MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA

Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia.

Soma Zaidi...
Dalili za mimba ya siku 4

Unaweza kutaka kujuwa je naweza kupata dalili za mimba baada ya siku nne toka ujauzito kutungwa? ama baada ya siku nne toka kushiriki tendo la ndoa. Makala hii itakwenda kujibu maswali haya na mengineyo.

Soma Zaidi...
Mabadiliko ya Matiti kwa Mama mjamzito

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye Matiti kwa Mama mjamzito, hali hii utokea pale ambapo mama akibeba mimba Kuna mabadiliko kwenye Matiti kama ifuayavyo.

Soma Zaidi...
Sababu za za ugumba kwa Mwanaume

Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa Mwanaume, ni sababu ambazo umfanye mwanaume ashindwe kumpatia mwanamke mimba.

Soma Zaidi...