Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika?
Swali:
âœï¸Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani
âœï¸Ukimwi kwa mfno uanza baada ya muda gani nielekeze hap na hua ni endelevu hizo dalili
Jibu:
👉Dalili za ukimwi huweza kujitokeza baada ya miaka 5 mpaka 10 toka kuathirika. Wipe wengine wanaweza kuchelewa zaidi ya hapo.
👉Dalili za HIV huanza kuonekana baada ya wiki ya pili mpaka wikivya situ toka kuathirika. Dalili hizi si endelevu, hupotea ndani ya wiki hizo.
Kujuwa zaidi body's link Link 🔗 hii
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1532
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Simulizi za Hadithi Audio
👉4 kitabu cha Simulizi
👉5 Kitau cha Fiqh
👉6 Madrasa kiganjani
Dawa za kutuliza vvu zinaongeza damu
Hakuna dawa ya UKIMWI ya kutibu kuondoa virusi mwilini, lakini zipo dawa za kuweza kupunguza makali ya virusi hawa. Hivi unesha jiuliza kuwa je zile dawa zinaongeza damu? Soma Zaidi...
Athari za ugonjwa wa Dondakoo
Posti hii inahusu zaidi athari za ugonjwa wa Dondakoo,hali hii utokea iwapo ugonjwa haukutibiwa mapema au umetibiwa lakini bado Kuna matokea hasi ambayo yanaweza kujitokeza kama ifuayavyo. Soma Zaidi...
Homa ya Dengue, dalili za homa ya dengue na Njia ya kujikinga nayo
HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu. Soma Zaidi...
Ugonjwa wa Uvimbe kwenye ubongo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe au puto katika mshipa wa damu kwenye ubongo. Uvimbe kwenye Ubongo unaweza kuvuja au kupasuka, na kusababisha kuvuja damu kwenye ubongo. Mara nyingi, kupasuka kwa Uvimbe wa Ubongo hutokea katika nafasi kati Soma Zaidi...
Msaada kwa Mgonjwa aliyeshindwa kupitisha mkojo.
Posti hii utokea huduma ya kwanza kwa mtu aliye na shida ya kushindwa kupitisha mkojo kutoka kwenye kibofu Cha mkojo, Soma Zaidi...
Dalili na Ishara za mawe kwenye figo
Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako. Soma Zaidi...
KAMA UNASUMBULIWA NA FANGASI
Post hii fupi inakwenda kukujuza juu ya tatizo la fangasi na nini ufanye. Soma Zaidi...
MINYOO NA ATHARI ZAKE KIAFYA, NA NAMNA YA KUPAMBANA NA MINYOO NA DALILIZAKE.
Soma Zaidi...
Dalili za uchovu wa joto mwilini.
Uchovu wa joto ni hali ambayo dalili zake zinaweza kujumuisha kutokwa na jasho kubwa na mapigo ya haraka, ambayo ni matokeo ya joto la mwili wako. Ni mojawapo ya magonjwa matatu yanayohusiana na joto, huku tumbo la joto likiwa kali zaidi na Kihar Soma Zaidi...
Namna madonda koo yanavyotokea
Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara kwa watu. Soma Zaidi...
dalili za mimba changa ndani ya wiki moja
Je na wewe ni katika ambao wanahitaji kujuwa dalili za mimba ndani ya wiki moja? kama ndio makala hii ni kwa ajili yako. Utakwenda kuona dalili za mwanzo sana za ujauzito toka siku za mwanzoni. Soma Zaidi...
Mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto
Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto, mtoto katika makuzi yake anahitaji kutunzwa vizuri Ili akue kwa afya nzuri bila magonjwa Soma Zaidi...