Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto, mtoto katika makuzi yake anahitaji kutunzwa vizuri Ili akue kwa afya nzuri bila magonjwa
Mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto
1. Mlo kamili
Mtoto anapaswa kula chakula chenye virutubisho kufuatana na umri, kama hajafikisha umri wa kula usimpatie chakula acha anyonye mpaka wakati wa kuanzia kula,
2.Magonjwa
Magonjwa ni shida inayofanya watoto wadumae wasikue kwa wakati, magonjwa kama degedege na malaria na mengineyo
3. Mazingira ya mtoto
Mtoto akiishi mazingira mazuri yenye hewa Safi na mahitaji ya kutosha ataweza kukua vizuri
4. Kuhudhulia kliniki
Mtoto akiwa anahudhulia kliniki na kufuata maelekeza yote kama vile chanjo, kupima uzito na kupata vidonge vya minyoo ataweza kukua vizuri
5. Uchumi wa familia
Mtoto akitoka familia yenye uchumi mzuri ataweza kukua na kupata mahitaji yote kuliko mtoto akitoka kwenye familia maskini
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inshusiana na dalili za anemia ya minyoo
Soma Zaidi...Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu.
Soma Zaidi...Hapa tutaangalia baadhi ya sababu zinazopelekea mdomo kujaa mate na namna ya kutibu tatizo la kujaa kwa mate mdomoni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.
Soma Zaidi...Kila mtu anaweza kupata ugonjwa wa pumu, hata hivyo kuna ambao wapo hatarini zaidi kupata pumu.
Soma Zaidi...Kama unasumbuliwa na presha post hii ni kwa ajili yako. Hapa tutakuoatia ushauri kutokana na swali alilouliza mdau wetu.
Soma Zaidi...'UTI (urinary tract infection) no ugonjwa wa maambukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya husababishwa na bacteria, fangasi,na virus. Pia unaweza athiri rethra, kibofu Cha mkojo na figo.lakini Mara nyingi UTI huathiri Hadi mfumo wa uzazi na w
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma anayopaswa kupata mgonjwa wa ndengue, kwa sababu tunafahamu wazi Ugonjwa huu hauna dawa ila kuna huduma muhimu ambayo anaweza kupata na akaendelea vizuri.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo mbalimbali vinavyotumika kupima VVU
Soma Zaidi...