Posti hii inahusu zaidi mbegu ambazo ni nzima na ambazo zina sifa ya kutungisha mimba kwa hiyo mbegu hizi utazigundua kwa kuwa na sifa zifuatazo.
Zijue mbegu za kiume zilizo bora.
1. Kwa kawaida uwa nyingi.
Hili kuona kuwa mbegu ni nzima kitu cha kwanza unapaswa kuangalia kiasi, kwa kawaida mbegu nzima kiasi chake huwa ni kikubwa na zinakuwa ni nzito ukilinganisha na zile dhaifu.
3. Pia hizi mbegu zina uwezo wa kutungisha mimba.
Kwa sababu hizi mbegu zinakuwa na sifa zote zinaweza kutungisha mimmba kwa urahisi kwa sababu zinakuwa na sifa zote za kubebesha mimba na kama mwanaume ana mbegu za aina hiyo ni vizuri kabisa kubebesha mimba.
4. Pia hizi mbegu zina uwezo wa kuogelea na kufikia kwenye yai, kwa hiyo kwa kawaida mbegu zilizo nzima zinaweza kusafili kwa kiasi kinachohitajika na kuweza kutungisha mimba.
5. Pia mbegu hizo huwa na rangi za gray kwa sababu ya kuwepo kwa uhai ukilinganisha na mbegu dhaifu ambazo ni dhaifu kwa hiyo ukiona mbegu ni za gray jua wazi kuwa ni nzima na zina uhai.
6. Kwa hiyo tunapaswa kujua kuwa mbegu nzima zina sifa zote za kutungisha mimba kwa hiyo ikitokea wachumba wanakosa mtoto kwa mwaka mzima na mbegu zikiwa na sifa zote tunapaswa kupima na kujua uenda pakawepo na tatizo lingine.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya mdalasini katika matibabu ya homoni kwa wanawake.
Soma Zaidi...Posti inahusu nzaidi kufunga kwa mishipa ya machozi ya mtoto kwa kawaida mishipa ya mtoto inapaswa kufunguka baada ya mwaka mmoja lakini kwa wengine ubaki imefungwa hata baada ya mwaka mmoja na kusababisha madhara mbalimbali kwa mtoto.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba na dalili za siku hizo.
Soma Zaidi...Kunyonyesha ni moja katika njia za asili za kuzuia upatikanaji wa miba nyingine. Hata hivyo hii haimaanishi kuwa huwezi kupata mimba ukiwa unavyonyesha.
Soma Zaidi...Tunaposema uzazi wa mpango, tunamaanisha ile hali ya kuachanisha muda kutoka mtoto hadi mwingine. Inatakiwa angalau mtoto na mtoto wapishane miaka miwili. Uzazi wa mpango ni maamuzi kati ya mama na baba.
Soma Zaidi...Nitakujiza dawa ya chango na maumivu ya tumbo lahedhi, dalili zake na njia za kukabiliana na maumivu ya tumbo la chango.
Soma Zaidi...Kama na wewe unasumbuliwa na hali ya kupitiliza siku zako post hii itakusaidia.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisukari wakati mama akiwa mjamzito.na yafuatayo ni Mambo hatari yanayotokea wakati Mama akiwa na ujauzito.
Soma Zaidi...Zijuwe dalili 17 za mimba na mimba changa, kuanzia siku ya kwanza mpaka mwezi mmoja
Soma Zaidi...