Posti hii inahusu zaidi njia za kutibu mbegu dhaifu, ni njia ambazo utumika kutibu mbegu ambazo ni dhaifu ili kuweza kuondoa tatizo hili ambalo limewakumba wanaume wengi na kusababisha madhara makubwa kwenye ndoa au familia.
Njia za kutibu mbegu dhaifu.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kuboresha vyakula vyetu na kutumia vyakula vyenye wingi wa madini ya zinki, vitamini E, follic asidi, vitamini B12, na vitamini C.
2. Kujitahidi kuondoa sumu mwilini kwa kufanya mazoezi na kutoa jasho, na kuepuka kula vyakula vya super market na vyakula vingine ambavyo havina umuhimu kwenye mwili.
3. Kuepuka hali ya kujichua .
Kujichua nakwa usababisha misuli ya kwenye uume kulegea na kufanya mbegu kuwa dhaifu kwa hiyo tunapaswa kuacha kupiga pinyeto ili kuondoa tatizo hili.
4. Kupunguza wasiwasi na msongo wa mawazo.
Kwa sababu mbegu za kiume kuwa dhaifu usababishwa na msongo wa mawazo na wasiwasi kwa hiyo tunapaswa kuacha kupunguza mawazo na kuwa kwenye hali ya kawaida.
5. Kupunguza matumizi ya pombe kali.
Kwa kawaida pombe kali huwa ni shida sana kwa uzazi kwa hiyo kwa wale wanaume ambao wanatumia sana vileo vikali hasa pombe za kupita kiasi wanapaswa kupunguza ili kuweza kupunguza tatizo hili na hasa kwa wale ambao wameshagundulika na tatizo.
6. Kuepukakana na vinywaji vyenye sumu na kemikali.
Kwa kawaida wale wanaofanya kazi kwenye sehemu za mionzi na kwenye kemikali kali iwapo wamegundulika na tatizo hili wanapaswa kuachana na kutumia kemikali ili kuweza kujiepusha na tatizo hili.
7. Kwa hiyo jamii inapaswa kuelimishwa kuhusu matatizo haya na jinsi ya kufanya ili kuweza kuepuka matatizo kwenye jamii
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi hatua ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kutibu uvimbe au kwa kitaalamu huitwa fibroids. Hizi hatua zikitumika uweza kusaidia kupunguza kiwango cha kupata au kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.
Soma Zaidi...Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini.
Soma Zaidi...Jifunze sababu kuu zinazosababisha kuhisi maumivu makali ya tumbo wakati wa kushiriki tendo la ndoa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye Matiti kwa Mama mjamzito, hali hii utokea pale ambapo mama akibeba mimba Kuna mabadiliko kwenye Matiti kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...PEP Ni dawa ambazo utumiwa na watu wanaojamiiana na watu wenye virus vya ukimwi ila wenyewe hawawezi kupata kwa sababu ya kutumia dawa hizo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuepuka fangasi za ukeni, ni njia ambazo usaidia kuepuka madhara ya fangasi za ukeni.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo ujitokeza kama kuna Maambukizi yoyote kwenye kitovu cha mtoto mdogo, kwa kawaida kitovu cha mtoto kama kiko vizuri kinapona kwa mda mchache na kinakauka mapema iwezekanavyo bila kuwa na tatizo lolote ila kama kuna Dal
Soma Zaidi...Kama na wewe unasumbuliwa na hali ya kupitiliza siku zako post hii itakusaidia.
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo ni moja katika dalili za ujauzito. Maumivu wanawake wengi hushindwa kujuwa kuwa ni ujauzito ama laa. Na hii ni kwa sababu kwa wanawake wengi maumivu ya tumbo ama changu ni jalivya kawaida kwao.
Soma Zaidi...