SABABU ZA KUKOSA NGUVU ZA KIUME AMA KUWA NA UWEZO MDOGO WA KUHIMILI TENDO LA NDOA
Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa.
KUKOSA NGUZU ZA KIUME NA SABABU ZAKE
Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Hii huwenda kuwa uume unashindwa kusimama (kutisa) kwa kwa muda mrefu, ama unashindwa kabisa kusimama. Kitaalamu hali hii hufahamika kama erectile dysfunction. Hali hii haihusishi wale wenye tatizo la kumaliza hamu mapema (premature ejaculation) yaani wanaomaliza haja yao hata kabla ya mwenza kuridhika.
Sababu za tatizo hili:
- Kuwa na maradhi ya moyo
- Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis)
- Kuwa na mafuta mengi mwilini (high cholesterol)
- Kuwa na presha ya kupanda (high blood pressure)
- Kisukari
- Matumizi ya baadhi ya madawa
- Uvutaji wa sigara
- Maradhi kwenye uume kama peyronie
- Unywaji wa pombe
- Utumiaji wa madawa ya kulevya
- Matibabu ya saratani ya korodani
- Upasuaji katika maeneo nyeti au ugwe mgongo
- Kuwa na mdongo wa mawazo ama woga
- Mahusiano yasiyo mazuri
- Kuwa na uzito kupitiliza
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Dua za Mitume na Manabii π2 ai web app π3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π4 kitabu cha Simulizi π5 web hosting π6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Utaratibu wa kushiriki tendo la ndoa kwa wajawazito
Jifunze muda ambao mjamzito hatatkiwa kishiriki tendo la ndoa. je kuna madhara kwa mjamzito kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...faida za tendo ka ndoa wakati wa ujauzito
Kufanya tendo la ndoa wakati wa ujauzito kina faida nyingi kwa mama na mtoto. Miongni mwa faida hizo ni kuimarisha mfumo wa kinga wa mama, kumuondolea stress na ukuajinmzuri wa mimba
Soma Zaidi...Upungufu wa homoni ya cortisol
Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni hii ya cortisol,hii ni homoni ambayo utokana na tezi glang(adrenal gland) kufanya kazi kupitiliza hali ambayo mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu, yaani wale watu ambao mda mwingi huwa wenye
Soma Zaidi...Kazi ya homoni ya testosterone
Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya testosterone, hii homoni kwa kiwango kikubwa ukutwa kwa wanaume ndiyo homoni ambayo umfanya mwanaume aonekane jinsi alivyokuwa na sifa zake zote.
Soma Zaidi...Madhara ya sindano za kuzuia mimba kwa vijana.
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya matumizi ya sindano za kuzuia mimba kwa vijana ambao hawajafikilia mpango wa kuanza kujifungua watoto.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusiana na kubalehe kwa msichana na mvulana.
KubaleheΓΒ ni wakati mwili wa mtoto unapoanza kubadilika na kuwa wa mtu mzima (balehe) hivi karibuni. Kubalehe ambao huanza kabla ya umri wa miaka 8 kwa wasichana na kabla ya umri wa miaka 9 kwa wavulana.
Soma Zaidi...