Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali yanayodhoofisha afya za wanaume, kwa wakati mwingine wanaume ukosa kujiamini kwa sababu ya mambo ambayo yanaadhiri afya za wanaume.
Mambo yanayoadhiri afya za wanaume.
1.Upigaji wa punyeto.
Hili ni tatizo kubwa ambalo linawakumba wanaume wengi kwa sababu wanapoanza kupiga punyeto katika umri mdogo wakifikiwa wakati wa kuoa hali hii Usababisha nguvu za kiume kupungua na kufanya kushindwa kutimiza tendo la ndoa kwa hiyo wanawake uweza kuwadharau na kuwaona hawafai hali inayosababisha wanaume kuishi pasipo kujiamini.
2. Kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume.
Kuna wanaume ambao siku zote utumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ambapo wakizitumia mda mrefu ufikia kipindi cha kufanya uume ushindwe kusimama kwa mda mrefu na kusababisha kufaulu vizuri tendo la ndoa hali hii uwafanya wanaume wajisikie vibaya wakiwa na wake zao .
3. Magonjwa sugu.
Mara nyingi wanaume Upata Magonjwa sugu ambayo uwafanya wakose raha kwa sababu kwa mara nyingine wanakosa huduma kutoka kwa wenzio wao hasa kama wana familia zaidi ya moja, Magonjwa haya ni kama presha, kisukari,ngili tezi dume.
4. Vyakula vya mafuta.
Kwa kutumia vyakula vingi vya mafuta ufanya kuziba mishipa ya damu na kwa hiyo damu ushindwa kufikia kwenye uume kwa hiyo baba anaweza kushindwa kubebesha mimba.
5. Msongo wa mawazo.
Kwa wakati mwingine kuna wanaume wanakuwa na msongamano wa mawazo hasa pale wakiwa wazee na kukosa ela na pale pengine utengwa na familia kwa hiyo hali uifanya afya ya Wanaume kuwa mbaya na kudhorota kwa hiyo jamii inapaswa kujua kuwa wazee wanapaswa kutunzwa vizuri.
6. Ulevi na uvutaji sigara.
Kuna wazee wengine wenye tabia ya kuvuta sigara na kunywa pombe mara kwa mara kwa hiyo wanapaswa kupunguza matumizi ya pombe na kujua madhara yake na kuacha
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Je kichwa cha uume wako kinawasha, na je kinatoa majimaji kwenye njia ya mkojo, una muda ganinavtatizo hili. Na je ulishiriki ngono zembe siku za hivi karibuni?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumpima mtoto uzito, ni njia ambayo utumika kujua uzito wake na maendeleo ya mtoto.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuondoa tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye via vya uzazi kwa wajawazito, tunajua kuwa Mama akibeba mimba tu kuna mabadiliko utokea katika sehemu mbalimbali za mwili.
Soma Zaidi...ukiwa na ujauzito unaweza kuona mabadiliko mengi katika mwili wako yakiwemo kutokwa na majimaji. je majimaji haya yana dalili gani kwenye ujauzito?
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kuna wakati mtoto anapozaliwa anaweza kuvunjika kwenye sehemu mbalimbali kwa sababu zifuatazo.
Soma Zaidi...