Shuruti za Kuwajibika Kutolewa Zaka ya wanyama

Shuruti za kuwajibika kuwatolea Zaka wanyamahoa ni sita, nazo ni:

  1. Uislam.
  2. *Huria (si aliomilikiwa).
  3. Kumiliki kaamili (kumiliki kihalali).
  4. Kutimia kiwango.
  5. Kupitiwa na mwaka.
  6. Kulishiwa machungani.