picha

WAKATI WA KUFUMBUKA SEHEMU YA 2

Post hii ni mwendelezo wa hadithi ambayo Kwa jina inaitwa wakati wa Kufumbuka, ni mwendelezo wa pale maria anawekwa mbele ya wazee Ili akili kwamba John sio mtoto wa Mzee maganga ila maria akikumbuka wazi kwamba John ni mtoto wa Mzee maganga anakataa kuki

WAKATI WA KUFUMBUKA.

palikuwemo na mti  mmoja uliyoitwa kwa jina la bwamahelu, mti huo ulikuwa mkubwa sana na ulisadikika kuwa Kuna mizimu ambayo usema ukweli hasa kwa mtu ambaye ni mwongo, na walikuwa na desturi kwamba wanaacha kula siku nzima na chakula kile wanakiwekea mizimu na wakikuta kimeliwa ni dalili wazi kwamba jambo walilokuwa wanahofia ni kweli ikiwa chakula kikikutwa ni kwamba jambo hilo sio la kweli,ila chakula hicho kililiwa na wazee hao endapo kama hawapendi mwenye tatizo ila kama wanampenda chakula walikikuta na kwa sababu kati ya watoto wa Mzee maganga Kuna mtoto alikuwa Bado anajifunza namna ya kuwahudumia mizimu kwa hiyo alijua kila kitu kilichokuwa kinaendelea na aliwajuza ndugu zake kinachoendelea.

 

Basi chakula kilipikwa vizuri na watu wote hawakuruhusiwa kula chochote wakiwa kwenye maandalizi ya kujua ukweli kuhusu mtoto John, basi na yule mtoto wa kiume aliyekuwa anajifunza namna ya kuwahudumia mizimu aliwaalika ndugu zake wawe makini Ili chakula kisiliwe wakiwa na na Nia za kumwokoa ndugu yao na pia kumwokoa mama yao, basi wale wazee walipoona kuwa nyama ni nzuri na zinavutia kwa macho wakazitamani Sana na kujiandaa kwa ajili ya kula, basi zilipowekwa wakaamua mtoto wa Mzee maganga aliyekuwa anajifunza kuhudumia mizimu atolewe wakdai kwamba ni kesi ya mama yake . Kwa sababu wazee walikuwa na nguo maalumu na sehemu hiyo illkuwa na giza Kuna mtoto mwingine wa Mzee maganga alivaa nguo za wazee bila kuonekana akaingia ndani ya mti penye chakula , wazee walipoonza kula na watu wapo huko nje wakidhani kwamba wazee wapo wanaongea na miungu kumbe wapo wanakula chakula.

 

Baada ya mda mrefu wazee walitoka na kwenda nje kwa mda wakidai kwamba miungu bado inakula na watu wakaendelea kusali, baada ya mda wale wazee warirudi kwenye pango na wakamwambia watu kwamba ni kweli John sio mtoto wa Mzee maganga na ndugu wakashangilia kwa sauti kubwa wakidai kwamba Mali alizonazo John anyanganywe,

Itaendelea

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jamvini Main: Post File: Download PDF Views 1390

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili

Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambao walipoteana katika hali za kukimbizwa na wazazi Ili waweze kutimiza ndoto zao na siku wakakutana wakiwa watu wazima.

Soma Zaidi...
NIMLAUM NANI? (Sehemu ya pili)

Post hii ni mwendelezo wa hadithi iliyopita ambapo Frank aliwakuta Amina ambaye ni mpenzi wake ameumbatiana na James ambaye ni rafiki yake ,kwa hiyo tuendelee kusikia yaliyotokea baada ya Amina na James kukutwa na Franki.

Soma Zaidi...
Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili

Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, hapa tunaona Jackie anajibu barua ya Julius kwa kusema yafuatayo.

Soma Zaidi...
Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili

Post hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mitihani inaisha na wanaanza kuhukumiwa mmoja baada ya mwingine.

Soma Zaidi...
Mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini ( sehemu ya tatu)

Post hii inahusu zaidi mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini wakipanda gari kuelekea shule kuanza maisha mapya.

Soma Zaidi...
USALITI (sehemu ya tatu)

Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya ukweli ambayo imetokea siku sio nyingi jinsi Moses alipoacha kumwoa Rhoda naye akachanganyikiwa takribani miaka kama mitano hivi.

Soma Zaidi...