Kila kitu ambacho wanaume wanatakiwa kufahamu kuhusu wanawake.
Hii ni siri kubwa kuhusu wanawake. Hapa utajifunza jinsi ya kumfanya mwanamke asikuache.
UBUNIFU NI MOJA KATIKA MAMBO MUHIMU KATIKA TEHAMA.
Mwaka 1989 Alan Francis aliandika kitabu chake kilikuwa na kurasa 128. Kitabu hiki kilikuwa na kichwa cha habari kinachosema EVERY THING MEN KNOW ABOUT WOMEN. Kwa maana kuwa kila kitu ambacho wanaume wanaokunywa kuhusu wanawake.
Kitabu hiki kilieleza kuwa kinakwenda kuelezea kila kotubkuhusu wanawake, ikiwemo jinsi ya kuwaridhisha kitandani, jinsi ya kumvutia, jinsi ya kumuweka karibu na mengineyo.
Kitabubkinaeleza kuwa mwandishi amefanya tafiti kwa muda mwingi hivyo ameamua kuvujisha siri hizo .
Kitabu hiko kinauzwa kwa dola 6 Amazon. Kitu cha ajabu juu ya kitabu hiki kurasa zake zote zilikuwa tupu. Yaani hakukuwa na maandishi. Kwa maana kuwa eidha mwandishi anaamini kuwa wanaume hawajui chochote kuhusu wanawake ama ni kitabu kilichoandaliwa kwa ajili ya kufurahisha tu ama kuchekesha.
Lakini ukiachilia mbali kuwa kitabu hiki kitupu lakini kimekiwabkikinunuliwa sana kama zawadi kwa wapendanao ama kwa ajili ya siku ya kuzaliwa ama vinginevyo. Inasema kuwa watu wanaridhika kabisa kununua kurasa tupu.
Kwa nini nimeandika historia hii :
Ukoangalia hapo ni ubunifu ndio uliofanya kitabu kuendelea kuwa na soko. Ukiachilia mbali kuwa kitabu hakituongezei taaluma ama ujuzi wowote lakini kinatupa furaha. Kwa ubunifu wa mwandishi watu wapo radhi kununua kitabubkitupu kabisa.
Kwa mfano kama huu na sisi tukiwa wabunifu wa ujuzi mdogo wa Tehama ulio nao unaweza kukufokisha mbali anabkukuingizia kipato.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 web hosting 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Mtoto wa tajiri na maskini (sehemu ya pili)
Post hii inahusu zaidi watoto wa wawili ambapo mmoja ni mtoto wa tajiri na mwingine ni mtoto wa maskini.
Soma Zaidi...WAKATI WA KUFUMBUKA
Post hii ni mwendelezo wa hadithi inayohusu Kufumbuka ambapo , John anaonekana kama sio mtoto wa Mzee maganga kwa sababu na miungu imekili kwa sababu chakula chote kimeliwa na kuisha.
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu, kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu alichukua ule mkate akawapstia watoto wa yule mama wakiwa wanatoka shule kwa hiyo tutaona kilichotokea kwa wale watoto.
Soma Zaidi...SAFARI YA MUUJIZA sehemu ya tatu
Post hii inahusu Zaidi hadithi ya safari ya muujiza ambapo ya Mungu mengi anaenda kwao na kuomba kufahamu history yake ili afahamu kuhusu wazazi weo walipo na ndugu zao walipo.
Soma Zaidi...Mafundisho kutokana na hadithi ya Binti mfalme
Posti hii inahusu zaidi mafundisho ambayo tunayapata kutoka kwa binti mfalme, tunapotoa hadithi sio kusoma na kufurahia tu ila kuna mafundisho muhimu katika maisha yetu.
Soma Zaidi...Hadithi ya Mama mchoyo na mwehu
Posti hii inahusu zaidi habari za Mama mmoja aliyekuwa mchoyo akampa mkate mwehu na kuutia Sumu ila kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu sana aliutunza mkate na kuwapatia watoto wa yule mama waliokuwa wakitoka shule na njaa kali
Soma Zaidi...