Hadithi ya Mama mchoyo na mwehu

Posti hii inahusu zaidi habari za Mama mmoja aliyekuwa mchoyo akampa mkate mwehu na kuutia Sumu ila kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu sana aliutunza mkate na kuwapatia watoto wa yule mama waliokuwa wakitoka shule na njaa kali

Hadithi ya Mama mchoyo na mwehu.

1. Hapo zamani za kale palikuwepo na mwehu mmoja maskini lakini pamoja na umaskini wake yule mwehu alikuwa mkarimu wa hali ya juu, kwa sababu kile kidogo alichokipata katika kuomba Aliwapatia wahitaji zaidi ya yeye kama vile walemavu na wanafunzi waliokuwa wanatoka shule.

 

2. Palikuwepo na mama mmoja tajiri ana kila kitu ila tatizo lake lilikuwa ni uchoyo kwa huyo mwehu alikuwa anakwenda kwa yule mama kuomba yule mama hakumpatia chakula kwa sababu ya halu yake ya umaskini Bali alimpatia kwa sababu yule mwehu alikuwa anapiga makelele iwapo hajapewa chochote, kwa hiyo Mama alikuwa anachukizwa sana na Ile tabia ya mwehu na maneno yake maana alipokuwa anamwomba yule mama alikuwa akisema ukitenda mema unajitendea mwenyewe ukitenda mabaya unajitendea mwenyewe naomba mkate.

 

3. Basi yule mama kwa sababu ya kukelwa na yule mwehu, kwa hiyo mama aliandaa mkate akaweka sumu Ili kumuua yule mwehu, basi mwehu kama kawaida yake akisema ukitenda mema unajitendea mwenyewe ukitenda mabaya unajitendea mwenyewe, basi yule mama akampatia mwehu mkate wenye Sumu, basi yule mwehu akashukuru sana akaondo basi njiani yule mwehu alikutana na watoto watatu fJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/26/Tuesday - 12:38:28 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1235


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-