Vipimo muhimu wakati wa ujauzito
Post hii inahusu zaidi vipimo muhimu wakati wa ujauzito ni vipimo ambavyo vinapaswa kupimwa na Mama ili kuangalia mambo mbalimbali katika damu au sehemu yoyote, pia vipimo hivi umsaidia sana Mama kujua afya yake.
Vipimo muhimu wakati wa ujauzito.
1. Upimaji wa damu ili kuangalia kiwango cha damu kilichomo mwilini, kwa kawaida mjamzito kabla ya kujifungua anapaswa kuwa na damu ya kutosha kwa sababu wakati wa kujifungua Mama utoa damu nyingi sana kwa hiyo kila mwezi mama uchukua dawa za follic ili kuweza kuongeza damu na pia akina Mama uambiwa kula vyakula muhimu vya kuongeza damu kwa hiyo wajawazito wote nwanapaswa kupima na kuangalia kiasi cha damu kilichomo mwilini mwa Mama.
2. Upimaji wa damu ili kuangalia group la Mama na baba kama zinaendana, mara nyingi Watu wengi wameoana tu na hawajui magroup yao ya damu hali hii uleta shida kwa mtoto wakati wa kujifungua kwa sababu pengine ya kuwepo kwa RH ambayo usababisha kutokwa kwa mimba na kwa upima magroup yao ya damu kila mtu anaweza kujua watu gani anapaswa kuwapatia na mtu gani atapokea kutoka kwake.
3. Pia Mama mjamzito anapaswa kupima kaswende kwa sababu ugonjwa huu ni hatari pindi akiwa tumboni kwa hiyo wazazi wote wanapaswa kuudhulia kliniki kwa mara ya kwanza ili waweze kupima maambukizi ya kaswende, kama wote wanayo wanapaswa kutibiwa ili kuepu kujifungua mtoto mwenye ugonjwa huu maana ni hatari.
4. Pia Mama mjamzito anapaswa kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na hatimaye kumwepusha mtoto kuzaliwa akiwa na Maambukizi, na pia kujua afya ya Mama ili kuweza kuwa makini wakati wa kujifungua na kuepusha kuendelea kumpatia huduma na kuendelea vizuri, pia Baba na Mama wote wanapaswa kujua hali zao na kuendelea na matibabu.
5.Mama mjamzito anapaswa kupima Malaria.
Tunajua kubwa Malaria ni tishio kwa Mama wakati wanapaswa kupima ugonjwa wa Malaria, kwa kuwa Mama mara nyingi upewa dawa za SP ili kuweza kuzuia Malaria kwa Mama mjamzito na mtoto kwa hiyo ni jambo la muhimu kupima Malaria na kuepuka shida yake mbalimbali.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 ai web app 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
NAMNA YA KUITAMBUA SIKU HATARI YA KUPATA MIMBA (UJAUZITO)
SIKU YA KUPATA UJAUZITO Mimba hutokea pindi mbegu ya kiume (sperm) inapokutana na yai la mwanamke (ova) na kuungana kwa pamoja kutengeneza selli moja iitwayo zygote.
Soma Zaidi...Madhara ya kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa katika siku zake.
Tendo la ndoa wakati wa siku za hedhi ni halia mbayo jamii nying zinakataza. Katika vitabu vya dini pia haviruhusu, hata ki saikolojia utaona kuwa sio jambo jema. Hata hivyo hapa ninakuletea madhara yake kiafya
Soma Zaidi...Faida na hasara za Kufunga kizazi kwa Wanaume
Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume.
Soma Zaidi...Namna ya kuangalia maendeleo ya mtoto akiwa tumboni mwa Mama
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia maendeleo ya mtoto akiwa tumboni mwa mama, zoezi hili ufanyika kila mwezi pale mama anapokuja kwenye mahudhurio kwa kufanya hivyo tunaweza kuja maendeleo ya mtoto kwa kila mwezi.
Soma Zaidi...