Njia za uzazi wa mpango zinazomhusisha mwanaume

Njia za uzazi wa mpango zinazomhusisha mwanaume

Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume kushiriki, ni njia ambayo umfanye mwanaume awe mhusika hasa wakati wa kujamiiana.

Njia ya uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume aweze kushiriki.

1. Njia ya kukata milija ambaye uruhusu mbegu kupitia kwenye uke kwenda kwenye sehemu ya kutungwa mimba,hii njia nayo umfanye mwanaume kushiriki kwenye kazi ya uzazi wa mpango.hii njia ni Bora zaidi kwa sababu wapenzi ufanya tendo la ndoa bila wasiwasi wa kupata mimba na ufanya kuwepo kwa uaminifu kwa mwanamke na mwanaume. Ila njia hii haizuii maambukizi ya Magonjwa ya ngono na Maambukizi ya virusi vya Ukimwi Bali uzuia mbegu kutoka kwa Baba kwenda kwa Mama.

 

2. Njia ya kumwaga mbegu 

Ni njia ambayo umfanye mwanaume kushiriki kwenye kazi ya uzazi wa mpango ambapo wakati wa kujamiiana mwanaume akisikia tu mbegu zinakua umwaga nje mbegu Ili kuepuka kuziingiza kwa Mama na kusababisha kupata mtoto asiye tarajiwa, njia hii ni nzuri ila Haina uhakika kamili kwa sababu mbegu nyingine zinaweza kutangulia kabla bila kuzisikia au nyingine zinaweza kubaki baada ya Mwanaume kumwaga na kusababisha mimba kutungwa. Hii njia haizuii maambukizi ya Magonjwa ya ngono au maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ni Bora kutumia condom Ili kuzuia mimba zisizotarajiwa.

 

 

3. Kutumia London, ni njia ambazo umfanye mwanaume kushiriki kwenye kazi ya uzazi wa mpango kwa sababu mwanaume Naya uvaa kondomu wakati wa kujamiiana  hii ufanya mbegumbegu za baba kushindwa kuingia kwenye vagina kwa sababu mbegu zote ubaki kwenye  kondomu kwa hiyo Ni vigumu mtu kupata hepatitis.njia hii ni mojawapo ya njia pekee ambayo uzuia magonjwa ya ngono na Ukimwi.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2011

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 ai web app     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Namna ya kuongeza na mjamzito ili kupata taarifa zake na kutoa msaada

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuongea na Mama mjamzito ili kuweza kugundua tatizo lake na kutoa msaada pale penye uhitaji.

Soma Zaidi...
Sababu za kutokea uvimbe kwenye kizazi.

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi,kwa kawaida tumesikia akina mama wengi wanalalamika kuhusu kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi na wengine hawajui sababu zake kwa hiyo sababu zifuatazo ni za kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.

Soma Zaidi...
Mwanaune anapataje fangasi kwenye uume

Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake

Soma Zaidi...
Mambo muhimu ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia katika kipindi Cha ujauzito au mimba

Soma Zaidi...