Kutokwa Majimaji sehemu za siri kwa mwanamke sio jambo la kushangaza na kuhisivunaumwa. Majimajivhaya ndio huboresha afya ya uzazi kwa kusafisha na kulinda via vya uzazi. Lakini majimajivhaya yakiwa mengi, ama yanawasha ama yanaharufu haa ndipo kwenye tat
Swali:
Kutokwa maji yan seminal swhemu za siri kwa mwanamke nidalili ya ugojwa gan?
Jibu
👉 kwa mwanamke kama Majimaji yana harufu mbaya na yanawasha huwenda ni dalili ya PID ama FANGASI
👉 endapo Majimaji yana rangi ya kijani, huwenda ni dalili ya fangasi ama PID ama mashambulizi mengine.
👉 yakiwa kama majimajjvya yai ama kama maziwa huwenda ni ujauzito.
Mwisho vyemabufike hospitali upate vipimo zaidi.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wanaoingia kwenye siku zao zaidi ya mara moja kwa mwezi.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba na dalili za siku hizo.
Soma Zaidi...Habari DoktaNikuulize kituu?
Soma Zaidi...Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wanaotoa hedhi yenye mabonge, ni tatizo ambalo uwakumba wasichana hata wanawake wakati wa hedhi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mimba iliyotunga nje na madhara yake kiafya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba
Soma Zaidi...