Post hii inahusu zaidi mambo ya kuzingatia iwapo mimba imetoka mambo haya yanaweza yakawahusu akina Mama wenyewe, familia na jamii kwa ujumla.
Mambo ya kuzingatia ikiwa mimba imetoka.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu chanzo cha mimba kutoka nini ni nini? Kama ni mimba ya kwanza mama anapaswa kuwa makini na kufuata utaratibu wa wataalamu wa afya kuhusu ni wakati gani wa kubeba mimba Ili kuweza kuepuka madhara ya kutoka kwa mimba.
2. Pia Mama aliyetoa mimba anapaswa kuhudumiwa kama mama yule aliyejifungua kwa mfano mimba ikitoka na miezi sita maumivu aliyoyapata yule aliyejifungua na aliyetoa mimba ni Yale Yale na pengine kama vyuma vya kutoa mimba vimetumika maumivu ni makubwa zaidi.
3. Pia Mama anapaswa kujua ni wakati gani wa kubeba mimba nyingine, kwa kawaida mama akitoa mimba anapaswa kubeba mimba nyingine baada ya miezi sita kwa sababu mama aliyetoa mimba anaweza kuingia kwenye siku zake za mwezi ndani ya siku ishilini na Moja.
4. Pia Mama anapaswa kufahamu kwamba akibeba mimba kabla ya miezi sita anaweza kupata tatizo hilo hilo kwa sababu via vya uzazi na viungo vya kusaidia kushika mtoto vinakuwa bado havijakomaa kuweza kubeba mimba tena na kusababisha kutoka kwa mimba mara nyingine kama mama amebeba mimba kabla ya mda.
5. Vile vile jamii inapaswa kuelewa kwamba mimba kutoka sio laana kwa jamii Bali ni kwa sababu mbalimbali kama vile maambukizi, na mambo mengine mengi kwa hiyo jamii inapaswa kutoa Mila potofu na kuwepo kwa ushirikiano kwa mama na familia kwa ujumla.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai.
Soma Zaidi...Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukuletea mambo kadhaa yanayohusiana na malezi bora ya mama mjamzito na mtoto mchanga
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na mathara yanayosababisha Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke
Soma Zaidi...Kama na wewe una tatizo la kupitiliza siku zako za hedhi hli ya kuwa huna ujauzito, soma post hii ina majibu yako.
Soma Zaidi...Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mimba iliyotunga nje na madhara yake kiafya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyakula mbalimbali vya kuongeza tendo la ndoa, kwa kawaida kuna vyakula mbalimbali ambavyo watu ukitumia ili kuweza kuongeza tendo la ndoa vyakula hivyo ni kama tutakavyoona hapo baadaye
Soma Zaidi...