Dalili za upungufu wa vitamini C mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za upungufu wa vitamini C mwilini
DALILI ZA UPUNGUFU WA VITAMINI C
Makala hii inakwenda kukuletea dalili za upungufu wa vitamini c mwilini. Dalili hizo ni kama:-
1.Kupata ugonjwa wa anaemia (upungufu wa oksijeni mwilini)
2.Kutokwa na damu kwenye mafinzi
3.Mwili kushindwa kupambana na maambukizo ya mara kwa mara
4.Kuchelewa kupona kwa vidonda na majeraha
5.Kukauka na kukatika kwa nywele
6.Kupata majeraha na michubuko kwa urahisi
7.Kuvimba kwa mafinzi
8.Kutokwa na damu za pua
9.Kuongezeka kwa uzito
10.Ngozi kukauka na kupauka ama kufujaa kwa ngozi
11.Kuvimba kwa viungio na maumivu ya viungio
12.Udhaifu wa gamba gumu la meno.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina ๐2 Kitau cha Fiqh ๐3 kitabu cha Simulizi ๐4 web hosting ๐5 Kitabu cha Afya ๐6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Njia za kuzuia kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENGโATWA NA NYUKI
Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanz akwa aliyeumwa na nyoka
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kumsaidia aliyeumwa na nyoka
Soma Zaidi...Mabadiliko yanayotokea wakati wa kubarehe kwa wsichana
Post hii inahusu zaidi mabadiliko katika umri wa kubarehe kwa wsichana, ni kipindi ambacho watoto huelekea ujana, utokea Kati ya miaka kuanzia Kumi na kuendelea.
Soma Zaidi...Aina za vidonda
Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA MWENYE KIZUNGUZUNGU
Unapokuwa na kizunguzungu unashindwa kuudhibiti mwili wako, unaweza kuanguka kabisa.
Soma Zaidi...