makala

Endapo kutatokea upungufu wa vitamini C mwilini kuna athari kubwa itakayotokea mwilini ikiwemo:
1.Kupata ugonjwa wa kiseyeye
2.Kuchelewa kupona kwa vidonda
3.Kutokwa na damu kwenye mafinzi
4.Maumivu ya mifupa
5.Maumivu ya misuli na viungio
ATHARI ZA KULA VITAMINI C KUPITILIZA
Kila kirutibisho kinahitajika ndani ya miili yetu kwa kiwango maalumu. Endapo kirutubisho kitakuwa kingi kupitiliza athari zinaweza kutokea katika afya ya mtu. Miongoni mwa athari za kuwa na vitamini C kupitiliza ni kama zifuatazo:-
1. Kichefuchefu
2.Maumivu ya tumbo
3.Kuharisha
4.Kufanyika kwa vijiwe ndani ya figo
5.Kujaa kwa tumbo
Mwisho
Kwakuwa sasa unatambua umuhimu wa vitamini C ndani ya mwili wako. Hakikisha kula vyakula vyema ili kusaidia katika kuboresha afya yako. Endelea kuwa pamoja na si kwa makala nyingine za Afya.
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo wanapaswa kutumia watu wenye matatizo ya macho,ni vyakula ambavyo uhimalisha mishipa na sehemu nyingine za jicho na kufanya jicho lisiwe na matatizo kwa sababu tunajua wazi kuwa vyakula ni dawa.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha hatari za kupaliwa na asali ama kitu kingine kama muulizaji alivyouliza.
Soma Zaidi...Nyanya ni katika viungio vya mboga, kuna faida kubwa za kiafya katika nyanya
Soma Zaidi...