Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach
Faida za spinach
1. Spinach Lina virutubisho Kama vitamin C, A, K, fati na wanga pia madini ya chuma, sodium, calcium na magnesium
2. Husaidia katika kupunguza uzito
3. HuborrHub afya ya mifupa
4. Huboresha afya ya macho
5. Hushusha presha ya damu (hypertension)
6. Husaidia mwili kurelax
7. Ni nzuri kwa afya ya ngozi
8. Husaidia katika mapambano dhidu ya saratani
9. Huboresha mfumo wa kinga
10. Hulinda mwili dhidi ya anemia
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Je unajuwa kuwa majimaji yanayotoka ukeni yanatueleza mengi kuhusu afya yako, rangi za majimaji ya ukeni na damu ya hedhi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya Piriton katika kutibu mzio au akeji ni dawa ambayo kwa lingine huitwa chlorpheniramine Maleate.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...