Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni hii ya cortisol,hii ni homoni ambayo utokana na tezi glang(adrenal gland) kufanya kazi kupitiliza hali ambayo mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu, yaani wale watu ambao mda mwingi huwa wenye
1. Uchovu wa mara kwa mara
Kwa kawaida watu wenye matatizo haya uhisi uchovu wa mara kwa mara na usioisha na pengine hata kama hakuna kazi yoyote iliyofanyika uchovu unakuwa unahisi uchovu wa mara kwa mara.
2. Uzito wa kufikiria na kufanya maamuzi.
Kwa kawaida Mtu mwenye tatizo hilo huwa na tatizo la kufikiria hasa mtu akiulizwa kitu kwa ghafla.
3. Ngozi kuwa nyepesi na kavu.
Kwa kawaida watu wenye matatizo ya hali hii kwa kawaida ngozi yao huwa nyepesi na kavu kuliko kawaida na ngozi zilizo na kiwango cha kutosha cha homoni ya cortisol.
4. Kuwepo kwa madonda usoni.
Kwa kawaida Kawaida watu wenye tatizo hili huwa na madoa usoni , hali hii utokea kwa sababu ya kukosa kiwango cha kutosha cha cortsol.
5. Kiwango cha sukari kushuka.
Kwa kawaida wasitani wa sukari usio imara yaat kupanda na kushuka kwa sukari ya mara Kwa mara.
6. Kushindwa au kutovumia kufanya mazoezi.
Kwa kawaida watu wa namnt hii ushindwa kufanya mazoezi kwa sababu pengine ni kwa sababu ya kuhisi uzito kwa sababu ya kuwa na hali ya kutojisikia vibaya.
7. Kama hali ikiendelea mtu anaweza kuwa na mvurugiko wa homoni ambazo kwa kitaalamu hormonal imbalance ni vyema kabisa kupata ushauri kwa wataalamu wa afya.
8. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuachay na dawa za kienyeji baada ya kuona dalili kama hizi kwa sababu mgonjwa hasipopota matibabu ipasavyo anaweza kupata matatizo makubwa kwa hiyo kama nilivyotangulia kusema kuwa ushai katika matibabu ni lazima Ili kuweza kupata matibabu sahihi
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake
Soma Zaidi...Je unaweza kunielezaKwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Soma Zaidi...Watu wengi wanadhania kuwa kufanya tendo la ndoa katika siku hatari ni lazima kuwa utapata ujauzito. Hili sio sahihi kabisa. Post hii itakwenda kuangalia jambo hili zaidi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma ambayo Mama anapaswa kutolewa pindi mimba inapotishia kutoka huduma hii utolewa kulingana na Dalili tulizoziona zinazohusiana na mimba kutishia kutoka.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia katika kipindi Cha ujauzito au mimba
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea kwa sababu ya kuziba kwa mishipa ya uzazi, ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa tatizo la kuziba kwa mishipa ya uzazi.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume.
Soma Zaidi...Zijuwe dalili 17 za mimba na mimba changa, kuanzia siku ya kwanza mpaka mwezi mmoja
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madhara ya kutoka kwa mimba, kwa kawaida tunafahamu kwamba mimba ikitungwa na mwili mzima huwa na wajibu wa kutunza kilichotungwa kwa hiyo ikitokea mimba ikatoka usababisha madhara yafuatayo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku ya 7 Hadi ya 14
Soma Zaidi...