Unaweza kuhisi chochote ktk tumbo ukiwa na wiki mbili? Na je ukibonyeza tumbo utahisi chochote ukiwa ns wiki
Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Jibu:
Itaweza kuchukuwa ha miezi mitatu ama zaidi kuanza kuhisi kitu tumboni. Ila hii haimaanishi kuwa dhalili za mimba pia atachelewa kuziona.
Ama kuhusu kucheza kwa mtoto inaweza kuchuwa miezi minne ama zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 ai web app 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Je siku ya kwanza kabisa ya ovulation mimba inakuwa ni uhakika kupata mimba?
Watu wengi wanadhania kuwa kufanya tendo la ndoa katika siku hatari ni lazima kuwa utapata ujauzito. Hili sio sahihi kabisa. Post hii itakwenda kuangalia jambo hili zaidi.
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo kabla ya kupata hedhi
Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba.
Soma Zaidi...Ishara za Uchungu wa Kujifungua Zinapoanza
Kufika kwa wakati wa kujifungua ni hatua muhimu na yenye msisimko mkubwa kwa kila mama mjamzito. Ni kawaida kuhisi wasiwasi kuhusu jinsi utakavyotambua kuwa uchungu umeanza. Dalili za uchungu wa kweli zinatofautiana na maumivu ya kawaida ya ujauzito (Braxton Hicks). Makala hii inaelezea ishara kuu unazopaswa kuzizingatia ili kujua kuwa wakati wa kuonana na malaika wako umefika.
Soma Zaidi...Dalili za Mimba ya Wiki 2 Unazopaswa Kujua
Katika ulimwengu wa kitabibu, ujauzito huanza kuhesabiwa kuanzia siku ya kwanza ya hedhi yako ya mwisho. Hivyo, katika "wiki ya pili," mwili wako kimsingi unajiandaa kwa ajili ya utungisho (ovulation). Ingawa kitaalamu bado hujaacha hedhi au kupata mimba kamili, huu ndio wakati muhimu ambapo mayai yanastawi na maandalizi ya homoni huanza. Makala hii inaelezea kile kinachotokea mwilini mwako katika hatua hii ya awali.
Soma Zaidi...Tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume.
Posti hii inahusu zaidi tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume, ni tatizo ambalo uwakumba baadhi ya wanaume kwa sababu mbalimbali na pia Ugonjwa huu unatibika hasa kwa wale wanaowahi kupata matibabu.
Soma Zaidi...