Posti hii inahusu zaidi homoni ya androgen, ni homoni ambayo imo kwa wanaume na ikizidi kwa kiwango chake inaweza kuleta shida kwenye mwili wa binadamu kwa hiyo homoni hii inaweza kuleta shida iwapo ikiongezeka kwa kiasi kikubwa.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa homoni hii ya androgen ni homoni ambayo imo kwa wanaume na inapaswa kuwa sawia kabisa Ili kuweza kufanya kazi zake vizuri, ila ikiongezeka inaweza kuleta madhara Katika udharishaji kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha kuwa aina hii ya homoni inakuwa sawa kabisa Ili kuweza kufanya kazi yake vizuri na kwa ufasaha kabisa, ila Kuna dalili mbalimbali zinaziweza kutokea ikiwa homoni hii imekuwepo kwa kiwango kikubwa kwenye mwili wa binadamu.
2. Kuwepo kwa vipele vyekundu na vyeusi vikiandamana na chunusi hasa hasa usoni na pia ngozi uonekana kuwa na mafuta mengi sana mwilini , kwa hiyo baada ya kuona dalili kama hizo ni vizuri kabisa kuwaona wataalamu wa afya Ili kuweza kutoa ushauri na kumalizana na tatizo.
3. Hali hii ikitokea kwa mwanamke usababisha mwanamke kuota ndevu na vinyweleo vingi kwenye mikono na miguuni, kwa hiyo ndio maana unaweza kukuta akina Mama wenye ndevu na vinyweleo vingi kwenye mikono na miguuni na pia wengine wanakuwa na sauti ya kiume, hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa wingi wa homoni ya androgen ambayo inapaswa kuwa kwa mwanaume kwa wingi kuliko kwa mwanamke.
4. Kuwepo kwa nywele nyepesi .
Watu wengine unakuta nywele zao zinakuwa nyepesi kuliko kawaida kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango cha juu cha homoni ya estrogen.
,5. Kuwepo kwa ugumba.
Kwa sababu hii homoni inapaswa ku balanced Ili kuweza kuruhusu uzalishaji kutokea ila ikiwa juu uzalishaji unakuwa WA shida
6. Kuwepo kwa uvimbe kwenye via vya uzazi.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na uvimbe kwenye via vya uzazi hali hii inasababishwa na kuwepo kwa kwa kiwango kikubwa cha homoni ya androgen.
7. Pamoja na Dalili zote hizi sio dalili zote ni kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni ya androgen kwa hiyo vipimo ni muhimu kabisa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya mzunguko wa damu kwa wajawazito, tunajua wazi kuwa wajawazito pindi ujauzito ukiingia tu, kila kitu kwenye mwili ubadilika vile vile na mzunguko wa damu ubadilika.
Soma Zaidi...Ni vyakula gani anapasa kula mjamzito, na utaratibu mzima wa lishe kwa wajawazito
Soma Zaidi...Unaweza kutaka kujuwa je naweza kupata dalili za mimba baada ya siku nne toka ujauzito kutungwa? ama baada ya siku nne toka kushiriki tendo la ndoa. Makala hii itakwenda kujibu maswali haya na mengineyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi fangasi za ukeni, hili ni tatizo kubwa ambalo linawakumba watoto, akina dada na wanawake kwa hiyo na vizuri kujua Dalili zake na kuweza kuchukua hatua mapema.
Soma Zaidi...Swali langi ni hiliMama mjamzito anapo hisi uchungu je mtoto huendelea kucheza tumboni?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kutafuta ujauzito
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kujiepusha na maradhi ya ini
Soma Zaidi...Mimba haipatikani kila siku, na pia mimba huingia kwa siku moja na katika muda mmoja. Baada ya mimba kutungwa hakuna tena nafasi ya kutungwa mimba nyingine.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufunza mambo mengi kuhusu tezi dume kama chanzo, dalili, matibabu, njia za kujikinga na mambo hatari yanayoweza kukusababishia kupata tezi dume.
Soma Zaidi...