Dalili za awali za mimba endapo tu mwanamke ametoka kukutana kimwili na mwanaume

Dalili za awali za mimba endapo tu mwanamke ametoka kukutana kimwili na mwanaume

Habari!

Dalili za awali za mimba endapo tu mwanamke ametoka kukutana kimwili na mwanaume

Habari! Samahan Ningependa Kujua Dalili za awali za mimba endapo tu mwanamke ametoka kukutana kimwili na mwanaume



Namba ya swali 034

Ni ngumu kuzijuwa ndani ya siku moja mpaka wiki hadi wiki mbili. Ila kama utakuwa makini zaidi na mwili wako unaweza kujijua ndani ya siku moja

1. Cheki mabadiliko ya joto la mwili wako. Kama joto lako toka siku ya hatari halikushuka likaendelea mpaka kuingia siku zisizo hatari huenda ulibeba ujauzito.

2. Cheki utelezi kwenye uke wako kama umeongezeka, Cheki mabadikiko ya afya yako, kama mapigobya moyo, hali ya kichwa kama ni chepesi, kizunguzungu, n.k Chunguza magitiy yako. N.k



Namba ya swali 034

Ahsante



Namba ya swali 034

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 3702

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 ai web app     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

Mabadiliko kwenye tumbo la uzazi wa Mama anapobeba Mimba.

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye tumbo la uzazi la Mama pindi anapobeba mimba, ni mabadiliko yanayotokea kwa mwanamke anapobeba mimba kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
Namna ya kutunza uke

Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza uke, tunajua wazi kuna magonjwa mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo uke hautaweza kutunzwa vizuri na pia uke ukitunzwa vizuri kuna faida ya kuepuka maradhi ya wanawake kwa njia ya kutunza uke.

Soma Zaidi...
Mambo muhimu kuhusu mbegu za kiume

Post hii inahusu zaidi mambo muhimu ambayo tunapaswa kujua au kufahamu kuhusu mbegu za kiume, kwa kuwa mbegu za kiume usaidia katika utungaji wa mimba kwa hiyo ni vizuri kabisa kuzitunza Ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa s

Soma Zaidi...
Sababu za za ugumba kwa Mwanaume

Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa Mwanaume, ni sababu ambazo umfanye mwanaume ashindwe kumpatia mwanamke mimba.

Soma Zaidi...
Faida za uzazi wa mpango kwa jamii

Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na jamii nayo inapata faida kwa hiyo zifuatazo ni faida za uzazi wa mpango kwa jamii.

Soma Zaidi...