Huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja.

Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja, aina hiyo ya mimba kwa kitaalamu huitwa complete abortion.

Huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja.

1. Tunasema mimba imetoka moja kwa moja bila kubakiza kitu chochote ndani, aina hii ya mimba huwa na dalili zote za mimba kutoka na baadae utoka moja kwa moja.

 

 

 

2. Kama mimba hii ilikuwa na miezi zaidi ya minne mama anapaswa kufanyiwa usafi tu ili kuweza kutoa damu iliyokuwa imebaki na kuweka mazingira ya bia vya uzazi sawa.

 

 

 

 

3 pia mama anapaswa kupewa ushauri kuhusu wakati wa kubeba mimba nyingine na kuepuka kubeba mimba haraka hali inayosababisha kutoka kwa mimba tena kwa sababu via vya uzazi vinakuwa bado havijakaa sawa.

 

 

 

 

4. Katika kipindi hiki uzazi wa mpango ni wa lazima pamoja na ushirikiano wa familia kwa ujumla.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/11/13/Sunday - 09:22:21 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 728


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-