Hija ya Kuaga na Kutawafu kwa Mtume (s.
Hija ya Kuaga na Kutawafu kwa Mtume (s.a.w).
- Ilikuwa mwaka wa 10 A.H alikwenda kuhiji na Waislamu zaidi ya 100,000 baada ya kutimia miaka 23 ya Utume.
Rejea Qurβan (5:3).
- Mtume (s.a.w) mwezi 9 Dhul-Hija, 10 A.H akiwa Viwanja vya Arafa, alikhutubia waislamu akiwa juu ya ngamia.
- Mtume (s.a.w) alianza kuugua miezi miwili baada ya Hija ya Kuaga na hatimaye alifariki jioni siku ya Jumatatu mwezi 12 Rabiβal-Awwal, 11 A.H.(Juni 8, 632 A.D.) akiwa na umri wa miaka 63.
Umeionaje Makala hii.. ?
Zoezi hili linamaswali mbalimbali kuhusiana na swala na masharti ya swala.
Soma Zaidi...Zaka, kilugha ni kukua; kubariki na kuzidi kheri.
Soma Zaidi...