Vinywaji salama kwa mwenye kisukari
Vijuwe vinywaji salama kwa mgonjwa wa kisukari
Vjinywaji salama kwa mwenye kisukari ni kama:-

- Maji
- Chai isiyo na sukari
- Kahawa isiyowekewa sukari ama kunywewa na vitu vitamu kama kashata
- Juisi ya tomato (nyanya) ama tango, pia isiwe kwa wingi
- Vinywaji vya wanamichezo ambavyo havikuwekewa sukari
- Baadhi ya vinywaji vingine visivyo na wanga
- Juisi ya mbogamboga
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Asili ya vyakula vya madini ya zinki
Post hii inahusu zaidi asili ya madini ya zinki, hii inaonesha sehemu gani tunaaweza kupata madini ya zinki.
Soma Zaidi...Faida za limao au ndimu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao
Soma Zaidi...Vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo, na vyakula salama kwa vidonda vya tumbo
Makala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...Fahamu vyakula vya nyuzinyuzi
Posti hii moja kwa moja inaenda kuelezea vyakula vya nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye matunda na mboga mboga.
Soma Zaidi...