Vyakula vya protini na kazi zake
VYAKULA VYA PROTINI
- Samaki
- Mayai
- Maziwa
- Nyama
- Kunde
- Maharagwe
- Mbaazi
- Mboga za majani
- Dagaa
- Kumbikumbi
- Senene
- Nafaka
Faiza na kazi za protini mwilini:
Protini husaidia katika kkujenga miili yetu. Pia husaidia katika uponaji wa vidonda, utengenezwaji wa homoni na utengenezwaji wa enzymes. Kwa ufupi protini ni kirutubisho kinachochukuwa nafasi kubwa zaidi katika miili yetu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Vyakula vya vitamin D
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin D
Soma Zaidi...Virutubisho vya mwili
Posti hii inahusu zaidi virutubisho vya mwili, ni aina tano za vyakula ambayo ufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Faida za kula Palachichi
Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako
Soma Zaidi...Vyakula vinavyosaidia katika kusafisha ini
Post hii inahusu zaidi baadhi ya vyakula ambavyo vinaweza kutumika ili kuweza kuweka ini kwenye hali yake ya kawaida.
Soma Zaidi...Vyakula salama na vilivyo hatari kwa mwenye kisukari, na vipi atajikinga na kisukari
Makala hii inakwenda kukupa elimu juu ya vyakula na vinywaji vilivyo salama kwa mtu mwenye kisukari, na ni vyakula vipi ni hatari kwa mwenye kisukari. Pia utajifunza njia za kujilinda na kupata kisukari.
Soma Zaidi...