DALILI ZA MALARIA
Malaria ni oja kati ya magonjwa yanayosumbuwa sana maeneo yenye joto. Malaria husababisha maelfu ya watu kupoteza maisha duniani kila mwaka. Ni mbu mmoja tu ndiye anayeweza kuambukiza malari, mbu huyu ni aina ya Anopheles. Malaria kama ikichelewa kutibiwa inaweza kuathiri ubongo, ini na viungo vinginevyo na hatimaye kusababisha kifo.Dalili za malaria
1.Homa kali inayofika nyuzi joto 38 ama zaidi
2.Kujihisi mwili wote umoto
3.Maumivu ya kichwa
4.Kutapika
5.Maumivu ya misuli
6.Kuharisha
7.Baridi na kutetemekaMara nyingii dalili za malaria hutokea kati ya siku 7 mapaka 18 toka kuambukizwa.Nini chanzo cha malaria
Malaria husababishwa na vijidudu vidogo parasite wanaojulikana kama plasmodium. Vijidudu hivi hubebwa na mbu aina ya anophelezi. Kuna ina nyingi za plasmodium lakini aina 5 tu ndizo husababisha malaria. Mbu anayeeneza malaeia hung’ata wakati wa kiza kinene. Sasa wakatu mbu ambaye na vimelea hivi yaani plasmodium aking;ata mtu vimelea hivi humuingia huyo mtu na kuanza kuzaliana ndani ya huyo mtu na baadaye kupata malaria.Viungo vunavyoathiriwa na malaria.
Kama tulivyoona hapo mwanzo kuwa malaria inaweza kuathiri viungo mbalimbali. Na kama haita tibiwa inaweza kusababisha kifo. Sasa hebu tuone viungo hivyo:-
1.Ubongo; endapo malariaiyafikia kuathiri ubongo hii ni hatuwa mbaya sana. Kwani ionaweza kusababisha vijishipa vidongo kwenye ubongo kuziba hivyo damu na virutubisha havitafikia vyema kwenye ubongo. Ubongo utaanza kudhoofika na mtu kupoteza fahamu. Hali ikiendelea ubongo mgonjwa naweza kupoteza maisha.2.Endapo malaria haitatibiwa haraka, vijidudu vinaweza kuathiri figo na ini. Vinaweza kuathiri utendaji wa kazi ama kupelekea kufa kabisa kwa figo na ini3.Mapafu pia huweza kuathiriwa na vijidudu hivi vya malari
4.damuMatibabuFika kituo cha afya jirani yako, upatiwa vipimo kisha tumia dawa. Ama fika duka la dawamueleze akupe dawa ya malaria.