Kuharisha ni Hali ya kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisicho na damu
Visababishi vya kuharisha ni pamoja na
1.bakteria
2.virusi
3.parasite
Dalili za kuharisha ni pamoja na
1.tumbo kuuma
2.kichefuchefu
3.kuishiwa nguvu
4.kuishiwa maji mwilini
Hatari za kuharisha
1.maji mwilini kuisha
2.kuzimia
3.kuishiwa kabisa nguvu
Tufanyeje Ili kuzuia kuharisha
1.kuchemsha maji ya kunywa na kuchuja
2.kula chakula kisafi
3.kuepuka kula vyakula vilivyopoa
4.kuosha mikono baada ya kutoka chooni
5.kunawa mikono kabla ya kuandaa chakula
Walio kwenye liski ya kupata ugonjwa huu ni
-watoto wadogo
-wazee
-wanafunzi
-na watu wanaokula kwenye migahawa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za kuonyesha kuwa Kuna maambukizi kwenye kitovu hasa hasa chini ya kitovu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya kurithi ambayo hubebwa na vinasaba vya urithi kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.magonjwa haya hata hivyo ,si kila kasoro huwa ni ugonjwa kwa mtu mfano ,ualbino na kitoweza kutofautisha rangi kama vile nyekundu na kija
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha dalili za ugonjwa wa Vidonda vya kitanda (bed sores)mara nyingi hukua kwenye ngozi ambayo hufunika sehemu za mifupa ya mwili, kama vile visigino, vifundoni, viuno. Vidonda vya kitanda vinaweza kukua haraka na mara nyingi ni vigumu
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuletea somo linalozungumzia maumivu ya tumbo chini ya kitomvu. Ni katika maumivu amaboyo kwa wanaume mara nyingi huhusishwa an ngiri na kwa upande wa wanawake huhusishwa na chango hasa pale wanapokaribia kuingia katika siku zao. Ma
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...sukari kupungua mwilini (Hypoglycemia) huhusishwa kwa kawaida na matibabu ya Kisukari. Hata hivyo, hali mbalimbali, nyingi zikiwa nadra, zinaweza kusababisha sukari ya chini ya damu kwa watu wasio na Kisukari. Kama vile Homa, Hy
Soma Zaidi...