Post hii inahusu Zaidi dalili za kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu, ni dalili ambazo zinaweza kujitokeza Kwa mgonjwa,Kwa hiyo baada ya kuona dalili hizi mgonjwa anapaswa kuwahi hospital mara moja Kwa ajili ya matibabu.
Dalili ambazo ujionyesha Kwa mgonjwa mweye usaha kwenye mapafu.
1. Mgonjwa anaanza kukohoa na pia makohozi uambatana na harufu mbaya pamoja na kuwa na rangi nyeusi, vile vile mgonjwa anatoa harufu mbaya. Haya utokea Kwa sababu ya kuwepo Kwa maambukizi kwenye mapafu .Kwa hiyo mgonjwa akiona dalili kama hizi ni lazima kupata matibabu mara moja ili kuweza kuepuka madhara mengine Zaidi kwenye mfumo wa hewa.
2. Vile vile mgonjwa anaweza kutapika damu hasa sehemu zenye usaha zinapopasuka na kuelekea kwenye mfumo mzima wa upumuaji usababisha mgonjwa kuanza kutapika,Kwa hiyo mara nyingi matapishi hayo uambatana na rangi nyeusi ambayo utoka kwenye mapafu.
3. Pia mgonjwa anaweza kuwa na homa za mara Kwa mara,kutetemeka na kuhisi baridi nyingi,kutokwa na jasho wakati wa usiku,kupumua vibaya na kuwepo na maumivu kwenye mapafu au kwenye kifua hayo yote utokea Kwa sababu ya kuwepo Kwa maambukizi kwenye mapafu.
4. Wakati wa kuangalia mgonjwa Kwa kutumia vifaa mbali mbali unaweza kusikia sauti mbaya pindi mgonjwa anapopumua na Kwa wakati mwingine sauti inakuwa kama vile ya kukoroma ni Kwa sababu ya kuwepo Kwa usaha kwenye pamoja na maambukizi kwenye mapafu.
5. Kwa wakati mwingine mgonjwa anaanza kupumua Kwa shida kubwa au utasikia analalamika kwamba hewa haitoshi ni Kwa sababu ya kutokuwepo Kwa mpangilio mzuri wa mfumo wa upumuaji Kwa sababu ya kuwepo Kwa maambukizi kwenye mapafu.
6. Kwa hiyo tunapaswa kupata tiba mara moja tunapopatwa na tatizo kama hili la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu ili kuokoa maisha ya wagonjwa Kwa sababu hali hii ni hatari.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu dalili za uvimbe kwenye kinywa ambapo kitaalamu hujulikana Kama oral candidiasis Uvimbe kwenye kinywa husababisha vidonda vyeupe, kwa kawaida kwenye ulimi au mashavu ya ndani. Wakati mwingine uvimbe kwenye kinywa huweza ku
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo.
Soma Zaidi...VYNZO VYA MINYOO Kama tulivyoona hapo mwanzo kuusu aina za minyoo, pia tumeona vyanzo vya minyoo hao kulingana na aina zao.
Soma Zaidi...Malaria inaweza kumpata mtu yeyote bila ya kujali mri.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri .Ni ugonjwa ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster
Soma Zaidi...posti inaonyesha dalili mbalimbali za Saratani ya ini. Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako. Ini lako ni kiungo cha ukubwa wa mpira wa miguu ambacho kinakaa sehemu ya juu ya kulia ya tumbo lako, chini ya diaphr
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi za ukeni kwa kawaida tunajua kubwa fangasi zikiingia kwenye uke usababisha madhara mbalimbali ambayo mengine yanaweza ya kudumu na mengine ya mda kama yametibiwa mapema.
Soma Zaidi...hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...joto la mwili wako linapungua, moyo wako, mfumo wa neva na viungo vingine haviwezi kufanya kazi kwa kawaida. Isipopotibiwa, Hypothermia hatimaye inaweza kusababisha moyo wako na mfumo wa upumuaji kushindwa kabisa na hata kifo.
Soma Zaidi...