Somo Hili linakwenda kukuletea matibabu ya VVU/UKIMWI
MATIBABU YA VVU NA UKIMWI
Kama ijulikanavyo kuwa hakuna dawa ya kutibu kabisa IKIMWI ila zipo dawa za kusaidia kuishi nyema kama kawaida bila ya kupata usumbufu wowote. Dawa hizi husuia yharibifu wa mfumo wa kinga usiendelee. Kwa ufupi matibabu haya kuzuia ukuaji na uongezekaji wa VVU mwilini. Matibabu haya hujulikana kama ART. Yaani Anti Retroviral Theraphy, na dawa zake hujulikana kama ARV yaani Anti Retroviral Virus. Dawa hizi zimegawanyika katika makundi kama:-
1.Reverse transcriptase (RT) inhibitor. Hizi huzuia virusi kujizalisha na kuongezeka.
2.Protease inhibitors. Hufanya virusi vishindwe kufanya kazi vyema.
3.Fusion inhibitors. Hivi huzuia virusi kuingia mwilini
4.Integrase inhibitors. Hizi huzuia HIV kujizalisha
5.Multidrug combination. Huu ni muunganiko wa dawa hizi zaidi ya moja.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Je unahitaji kujuwa kama umepata ujauzito baada ya kufanya tendo la ndoa? hakika sio rahisi ila kama utakuwa makini utaweza.
Soma Zaidi...Virusi vya Ebola ni virusi vinavyohusiana vinavyosababisha Homa zaรย hemorrhagic magonjwa yanayoambatana na kutokwa na damu nyingi (kuvuja damu), viungo kushindwa kufanya kazi na, mara nyingi, kifo. Virusi vya Ebola na virusi huishi kwa wanyama, na wanad
Soma Zaidi...Haya ni maradhi ambayo husambazwa kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu kwa kupitia mbu.
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria.
Soma Zaidi...Sty ni uvimbe mwekundu, chungu karibu na ukingo wa kope ambalo linaweza kuonekana kama jipu au chunusi. Sties mara nyingi hujazwa na usaha. Mtindo kawaida huunda nje ya kope lako. Lakini wakati mwingine inaweza kuunda kwenye sehemu ya ndani ya kope lak
Soma Zaidi...Posti hii inahusu magonjwa ya zinaa, ni magonjwa yanayosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana pasipo kutumia kinga au kwa lugha nyingine tunaita ngono zembe.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...