Sababu za mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa
Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazosababisha kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.
Zifuatazo Ni sababu zinazosababishwa mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa.
1.pombe na uvutaji sigari; hupelekea kukosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa Tena endapo utakuwa unamatumizi mabaya ya kunywa pombe na kuvuta sigara.
2.kuwa na mawazo (stress) kujiwekea mawazo mengi kupita kiasi ambayo hukuadhiri kisaikolojia pia huweza kusababish kukosa hamu ya tendo la ndoa.
3.ugomvi kwenye mahusiano; mkiwa kwenye mahusiano epukeni ugomvi maana mkigombana Mara kwa Mara huua kabisa hamu ya mapenzi hivyo epukeni ugomvi ili kujiridhisha na tendo la ndoa.
4.historia mbaya ya mapenzi kipind Cha nyuma; labda Kama ulibakwa au ulikuwa na mpenzi ambaye alikufanyia visa ambavyo hukuvifurahia Ni rahisi Sana kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
5.baadhi ya Magonjwa;Kama vile shinikizo la Damu,kisukari,kansa,kuwa na maumivu wakati wa tendo husababisha pia kukosa hamu ya tendo la ndoa.
6.Dawa za Uzazi wa mpango;dawa za uzazi wa mpango hushusha homoni kwa kiasi kikubwa hivyo Kama una Tumia dawa za uzazi wa mpango zikakukosesha hamu ya tendo la ndoa onana na dactari ili kufanya Njia nyingine ya Uzazi wa mpango.
7.mwanaume kushindwa kumridhisha mwanamke; mwanaume akishindwa kumridhisha mwenza wake kwa muda mrefu hupelekea mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa.
8.umri; kufikisha umri wa uzee hupelekea ute kuwa mkavu na ukiwa na umri wa miaka kuanzia 45 hupelekea maumivu na kusababisha kukosa hamu ya tendo la ndoa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 web hosting 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Maambukizi kwenye kitovu cha mtoto.
Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye kitovu cha mtoto, ni Maambukizi ambayo yanaweza kutokea kwenye kitovu cha mtoto pale ambapo mtoto amezaliwa inawezekana ni kwa sababu ya hali ya mtoto au huduma kuanzia kwa wakunga na wale wanaotumia mtoto.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume
Post hii itakwenda kukuletea orodha ya vyakla vinavyoaminika kuongeza nguvu za kiume.
Soma Zaidi...Dalili za ujauzito: Nini kinatokea kwanza
Je, unafahamu dalili za mwanzo za ujauzito? Kutoka kwa kichefuchefu hadi uchovu, ujue nini cha kutarajia.
Soma Zaidi...Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia Faida za Uzazi wa mpango kwa watoto, mama, wanandoa, na jamii au JUMUIYA.
Soma Zaidi...Njia za uzazi wa mpango
Posti hii inahusu zaidi kuhusu njia za uzazi wa mpango, uzazi wa mpango ni njia za kupanga uzazi Ili kupata idadi ya watoto unaohitaji
Soma Zaidi...Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo wa chakula.
Soma Zaidi...