Kuunda na kujaa kwa matiti ni miongoni mwa dalili za ujauzito lakini pia ni dalili za kukaribia hedhi kwa baadhi ya wanawake. Posti hii itakwenda kufafanuabutofauti wa dalili hizi na kipi ni sahihibkatibya hedhi ama ujauzito.
Swali Habar za saiz
Samahan je matiti kujaa na chuchu kuuma inakua ni dalili za hedhi.....???? Hii imekaaje mtaalam
Miongoni mwa dalili za mimba kwenye matiti ni kujaa, kwa matiti, kuuma na chuchu kubadilika rangi kuwa nyeusi ama kuongezeka kwa. Madhara wa weusi kwenye shina la chuchu.
Pia kwa baadhi ya wanawake wanapokaribiabhedhi huona dalili kama Chuchu kujaa na kuuma, maumivu ya tumbo na hata kupata kichefuchefu.
Sasa ili iwe ni ujauzito maumivu haya yatakuwa endelevu kwa masiku kadhaa nabhutaona hedhi. Lakkninkama hedhi utaiona maana yake maumivu hayo ama kujaa kwa chuchu itakuwa ni dalili ya hedhi.
Hata hivyo dalili mbili hizi unaweza. Kuzipata kama una mashambulizi kwenye matiti. PIUS pia huweza kuonyesha dalili hizi.
Fikankituo cha afya kwa maelekezo zaidi juu ya afya yako.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali ambazo zinamfanya mama au dada kutobeba mimba. Kwa hiyo tutaziona hapo chini kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba katika mwezi was kwanza
Soma Zaidi...Jifunze muda ambao mjamzito hatatkiwa kishiriki tendo la ndoa. je kuna madhara kwa mjamzito kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuangalia kama mtoto anapumua pindi anapozaliwa,tunajua kabisa ili kujua na kuelewa kama mtoto yuko hai ni lazima kuangalia upumuaji wa mtoto,ambapo tunaitambua pale anapolia tu.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Soma Zaidi...Mtoto huweza kuzaliwa ndani ya miezi 6 na unaweza kupona. Na huyu mdoe mtoto njiti. Na anaweza kuzliwa kwa njia ya kawaida. Hakuna ushahidi unaiinyesha kuwa njiti hukabiliwanamatatizo ya kitalima kwenye ukubwa wako.
Soma Zaidi...Jifunze namna ya kuthibitisha dalili za ujauzito kuwa ni za kweli. Tambuwa namna ya kupima mimba na muda mujarabu wa kupima
Soma Zaidi...