Posti hii inahusu zaidi namna ya kutibu tatizo la ugumba kwa Mwanaume, ni njia ambazo utumiwa na wataalam mbalimbali Ili kuweza kutibu tatizo la ugumba kwa wanaume.
Namna ya kutibu tatizo la ugumba kwa wanaume
1. Kuepuka kufanya ngono na wapenzi wengi (michepuko)
kila washiriki wako wa ngono wanapoongezeka ndipo unapozidi kujiweka kaika hatari ya kupata magonjwa ya ngono. katika magonjwa haya yapo ambayo yanaweza kuathiri mfumo wa uzazi na kukufanya upoteze uwezo wa kusababisha mimba kwa mpenzi wako.
2. Kufanyiwa upasuaji.
Upasuaji pengine ni wa lazima katika via vya uzazi vya wanaume kwa Sababu pengine mbegu za kiume uzalishwa na kutunzwa Ili ziweze kukomaa lakini pengine zinashindwa kupanda au upanda kidogo kwa sababu ya mrija unaopandisha mbegu uwa na Maambukizi ambayo ubana sehemu ambazo mbegu zinaweza kupitia na kutungisha mimba, kwa kufanya upasuaji sehemu ya kupitia mbegu inaweza kutosha na baadae mwanaume anaweza kutungisha mimba.
3. Kutumia dawa na Vitamini .
Kwa kutumia dawa na Vitamini mbalimbali vinaweza kufanya mwanaume anaweza kutungisha mimba, kwa sababu Kuna dawa ambazo usaidia mbegu za kiume ziweze kukomaa na dawa nyingine usababisha kiasi Cha shahawa kuongezeka na kuweza kutungisha mimba, kwa hiyo wanaume wakigundua tatizo hili wanapaswa kwenda kuwaona wataalamu wa afya kwani dawa zipo na wengi wamepona.
4. Kutumia njia za kisasa za kuvuna manii ya mwanaume na kuyapandikiza kwa mwanamke.
Kuna njia nyingine bambayi utumiwa na wataalam ambapo mbegu za mwanaume uchunjwa na kubaki zile mbegu zenye nguvu ya kutungisha mimba na kuziweka karibu na mwanamke na Mimba inatungwa vizuri na mfumo huu kwa kitaalamu huitwa intrauterine insemination hii njia umetumiwa na wengi na wamefaulu kupata watoto.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Inaweza kutokea ukapima mimbaikawa ipo, na baada ya wiki kadhaa unapima tena haipo. Hali hii unadhani inaweza kusababishwa na nini?
Soma Zaidi...Unataka kujuwa sababu za mjamzito kutokwa na damu, utelezi ama majimaji kwenye uke wake. Na dalili gani zinaashiriwa na majimaji haya
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake, haya ni magonjwa ambayo yanashambulia sana ovari ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Je, unafahamu dalili za mwanzo za ujauzito? Kutoka kwa kichefuchefu hadi uchovu, ujue nini cha kutarajia.
Soma Zaidi...Tunaposema uzazi wa mpango, tunamaanisha ile hali ya kuachanisha muda kutoka mtoto hadi mwingine. Inatakiwa angalau mtoto na mtoto wapishane miaka miwili. Uzazi wa mpango ni maamuzi kati ya mama na baba.
Soma Zaidi...Posti hii utakwenda kutoa sababu kuu za kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi. Kama na wewe numiongini mwaka endelea kusoma
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio vya maabara.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Utasa wa Mwanaume hutokana na uzalishaji mdogo wa mbegu za kiume, utendakazi usio wa kawaida wa manii au kuziba kwa manii ambayo huzuia utoaji wa mbegu za kiume. Magonjwa, majeraha, matatizo ya kiafya sugu, u
Soma Zaidi...