Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Jinsi ya kutumia data za json kwenye program
Kwa kuwa sasa tunaweza kutengeneza data za json kwa database ama kwa njia za kawaida. Sasa ni wakati wa kujifunza kuhusu matumizi ya hizi data. Hapa turtakwenda kujifunza katika namna kuu 2 ambazo ni
Kwa kutumia json faili moja kwa moja
Kwa kutumia link ambayo ina data za json.
Katika somo hili tutatumia database ambayo tyumeitengeneza kutoka somo lililopita. Pia tutatu8mia json faili ambalo tutalitengeneza kutoka kwenye data za somo lililopita.
Kwa kutumia faili la json
Sasa katyika somo lililopita tulipata data hizui
[
{
"id": "1",
"name": "John Doe",
"position": "Software Engineer",
"salary": "75000.00"
},
{
"id": "2",
"name": "Jane Smith",
"position": "Project Manager",
"salary": "85000.00"
},
{
"id": "3",
"name": "Alice Johnson",
"position": "UX Designer",
"salary": "70000.00"
},
{
"id": "4",
"name": "Bob Brown",
"position": "DevOps Engineer",
"salary": "80000.00"
}
]
Unachotakiwa kufanya nji kutengeneza faili kisha liite data.json kisha ndani ya faili hilo weka data hizo kisha save. Hivyo tunaweza kuzipata data zetu mojja kwa moja kwenye faili letu la php.
Ili kusoma data za json kutoka kwenye faili kuna functuion nyingi utaweza kutumia hata hivyo hapa nitakutajia 3 ambazo ufanyaji8 kazi weke nji mmoja. Kwa kutumia mfano mmoja unaweza kuzitumia zote. Function hizo ni:-
File_get_contents()
Fopen()
file()
Hapa chini nitakuletea mfano kwa kutumia file_get_contents() kisha kwa mfano huo utawezaa kutumia hoozo function nyingine.
Hapa tutakwqenda katika hatuwa kuu 3
Kusoma data za json kutoka kwenye faili
Mfano
$jsonData = file_get_contents('data.json');
Hapo tumetengeneza variable ambayo moja kwa moja inawakilisha data za json zote ambazo zipo kwenye hilo faili la data.json
Ku decode data
Mfano:
$employees = json_decode($jsonData, true);
Mpajka kufikia hapo tayari kazi kubwa tumesha ifanya. Ni vyema kucheck error kama tulivyojifunza masomo yaliyopita
if (json_last_error() !== JSON_ERROR_NONE) {
die('JSON Decoding error: ' . json_last_error_msg());
}
Kusoma hizo data
Data zetu sasa tunaweza kuzisoma kwenye html. Tunaweza kutumia foreach loop ama kwa kawaida. Hapo chini nitakuletea mifano yote.
Kwa kutumia foreach loop
echo "<table border='1'>";
echo "<tr><th>ID</th><th>Name</th><th>Position</th><th>Salary</th></tr>";
foreach ($employees as $employee) {
echo "<tr>";
echo "<td>" . $employee['id'] . "</td>";
echo "<td>" . $employee['name'] . "</td>";
echo "<td>" . $employee['position'] . "</td>";
echo "<td>$" . $employee['salary'] . "</td>";
echo "</tr>";
}
echo "</table>";
Bila ya kutumia foreach loop
<?php
// Read the JSON file
$jsonData = file_get_contents('data.json');
// Decode the JSON data into a PHP array
$employees = json_decode($jsonData, true);">
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object oriented programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function yako mwenyewe yaani user defined function
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza umuhmu wa kutumia PDO kwenye PHP kwa ajili ya kutumia database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Hili ni somo la mwisho katika mfululizo huu wa ORM, kupata ujuzi zaidi endelea kusoma ORM nyinginezo ambazo nimetangulia kuzitaja awali ya masomo haya.
Soma Zaidi...katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload multiple file yaani mafaili mengi kwa wakati mmoja kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP OOP hapa tutakwenda kuiona jinsi inavyofanya kazi pamoja na foreach loop
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifundisha kuhus matumizi ya function kwenye php. Pia utajifunza jinsi ya kuandika function
Soma Zaidi...Katika somo hili utaweza kujifunza ni kwa nambna gani utaweza kutengeneza blog post na kuisoma kwa kutumia data za json
Soma Zaidi...