Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Static property ni nini
Kama ilivyo static method basi na static property ni property ambayo inaweza kutumiaka moja kwa moja bila ya iinstance of class.
Hapa nitakupa mifano miwili tena, kwanz ani property ambayo sio static na mfano wa pili ni property ambayo ni static. Bila shaka utapata kuelewa vyema. Hata hivyo hakuna utofauti na static method.
<?php
class gari {
public $jina = 'Toyota';
}
$myob = new gari();
echo $myob->jina;
?>
Kama tulivyoona kwenye static method basi hata kwenye static property tunatumia scope operator (::) ili kuweza kuitumia
<?php
class gari {
public static $jina = 'Toyota';
}
echo gari::$jina;
?>
Endapo static property itat">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na jinsi ya kuweza kuzitumia
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za watumiaji kwa kutumia html form.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu content-type header.
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Soma Zaidi...Katika somo il utajifunza kutuma email kwa watu wengi kwa kutumia PHPMailer. Pia utajifunza jinsi ya kuweka Carbon Copy na Blind Carbon Copy
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...