Katika somo hili utaweza kujifunza ni kwa nambna gani utaweza kutengeneza blog post na kuisoma kwa kutumia data za json
Jinsi ya kusoma data kama kwenye blog
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data maalumu kwa mtindo ule ambao blog xzinafanya kazi. Kwanza tutatengeneza list ya data kisha tutaweka link. Pindi mtumiaji akibonyeza hiyo link basi taartifa zinafunguka kwenye ukurasa mwingine.
Katika somo hili tutatumia data kutoka kwenye somo lililopita. Tutadisplay majina ya waajiriwa kisha tutaweka link endapo mtu atabofya jina husika basi taarifa zake zitafgunguka kwa ujumla wake kwenye ukurasa mwingine.
Hivyo basi tutatengeneza ukurasa mwingine na tutauita details.php kisha kwenye ukurasa wa index.php tutaweka code kutoka kwenye somo lililopita. Pia kumbuka data zetu za json zinapatikana kwenye faili la json_data.php
Hizo index.php code zake zitakuwa hivi:-
<?php
// Read the JSON file
$jsonData = file_get_contents('http://localhost/testing/json_data.php');
// Decode the JSON data into a PHP array
$employees = json_decode($jsonData, true);
// Check for JSON decoding errors
if (json_last_error() !== JSON_ERROR_NONE) {
die('JSON Decoding error: ' . json_last_error_msg());
}
?>
<ol>
<?php foreach ($employees as $employee): ?>
<li>
<a href="details.php?id=<?php echo $employee['id']; ?>">
<?php echo $employee['name']; ?>
</a>
</li>
<?php endforeach; ?>
</ol>
Utaona hgapo link ya kwenda kusoma taaruifa za mtumiaji tumeiwekea parameta ya id. Ina maana kule kwenye details.php tunakwenda kuangalia muajiriwa mwenye id hiyom
Kitu ambacho hasa tunakwenda kukifanya ni nkutumia break kwenye foreach loop. Tunakwenda kuangalia kama id ya muajiriwa ni sawa na id ambayo imekuja kama nparameter kweenye linik basi hapo tuta break loop na ku display data.
foreach ($employees as $employee) {
if ($employee['id'] == $employeeId) {
$employeeDetails = $employee;
&">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye database. Kisha utajifunza jinsi ya kulisoma faili hilo kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika while loop kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za watumiaji kwa kutumia html form.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunzo kuhusu teknolojia ya ORM na inavyotumika kulinda usalama wa database
Soma Zaidi...